Ukinipa majibu ya haya maswali kwa ufasaha utarudisha yako na kuwaona hao unawabeba hawabebeki.
Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua FA cup
Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua EPL
Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua Europa Cup
Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua UEFA
Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua Super Cup.
Au kama ukipenda majibu baki nayo atakusaidia kujibu Aroon na wadogo zake. Arsenal wanakingiwa kifua lakini hawawezi hata siku moja kuifikia The Pride Of London.