Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Happy birthday to Ainsley Maitland-Niles, who turns 22 today. He plays for the Arsenal since he was 6. @Ains_7
 
Happy Birthday to Ainsley Maitland-Niles, who turns 22 today! One of the most versatile player and a key member in the squad. Hope he improves further and becomes a regular in the first team soon.
 

Nilisahau kama muliishia hadi nafasi ya 10.
Yani kumbe mulifika huko?
Narudi kufuta post yangu ya awali.
 
Bellerin, Tierney na Mavropunas wote wanarudi full training baada ya international break
 
As reported in the week Tierney recovering ahead of schedule, now expected back in training in September. Same for Bellerin.
 
Our fullbacks might be returning to action sooner than we thought...

Absolutely amazing news!
 
Tunakutana na Nottingham Forest ya Carl Jenkinson kwenye carabao cup na mechi zetu 6 zijazo zitakua hivi:-


1. Tottenham (nyumbani)
2. Watford (ugenini)
3. Europa League (itapangwa)
4. Aston Villa (nyumbani)
5. Nottingham Forest (nyumbani)
6. Manchester United (ugenini).
 
Bernd Leno has been called up to the German National team for their fixtures next month.

Congratulations, Bernd
 
Imenibidi na mimi nishangae kwamba ni ile mechi anaongelea au ni ipi ambayo Pepe alimpeleka 'mbaya' VVD.
 
According to the Mail, Mohamed Elneny is set to complete a season-long loan move to Besiktas. The Turkish club are expected to foot Elneny's wages for the campaign, as #Arsenal shift some expenditure off their current bill.
 
Arsenal midfielder Mohamed Elneny is set to complete a season-long loan move to Besiktas. [@SamiMokbel81_DM]
 
I think it’s fair to say that the only player we should be looking to sign in January is Upamecano. We must secure the bag because in the summer he will be wanted by every team in Europe. LW and CM should be addressed in the summer. I would like Chiesa, and Sangaré/Soumaré.
 
Andre villa Boaz alimaliza nafasi ya ngapi, hukumbuki newcastle ya Demba ba / cisse walimaliza juu yako huo msimu,jaribu kufatilia hata habari za timu yako hujui, yaani we ni zero kweli yani.
Huo ndo mwaka tumebeba UEFA na FA. Naukumbuka vzuri. Arsenal hata Carabao inakushinda?
 
Mid table anacheza UEFA ila wewe Champion unacheza mechi ya mchangani Alhamis. Mkutane na akina Samatta akili ziwarudi.
Chelsea ni timu iliyoanzishwa 2005 , lakini sasa hivi inarudi ilipotoka , sio muda itakuwa timu ya middle table.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…