Hivi vituko vyengine yani!
Ni Mara 2 tu??? Umeanza kuipenda mwaka gani?
Na Mara zote 2 ( let's say 2016/17 na 2018/19) mulibeba zote kweli?
Kwahiyo baada ya kumaliza nafasi ya 10 mulibeba Europa 2017 au?
Nina wasiwasi Chelsea huijui au umeanza kuipenda 2019.
Wakati tunamaliza nafasi ya kumi tulikuwa tupo uefa wewe ..labda uzungumzie msimu uliofuta ambao tulibeba ligi ..hiyo ata Europa hatukuwepo na tungekuwepo tungebeba. Acha kujitoa ufahamu jamaa Yuko sahihi ..tumeshiriki Europa Mara mbili na tumebeba zote... wewe umeshiriki zaidi ya Mara tatu/nne uko ukaishia kupigwa fainali bao 4-1.Hivi vituko vyengine yani!
Ni Mara 2 tu??? Umeanza kuipenda mwaka gani?
Na Mara zote 2 ( let's say 2016/17 na 2018/19) mulibeba zote kweli?
Kwahiyo baada ya kumaliza nafasi ya 10 mulibeba Europa 2017 au?
Nina wasiwasi Chelsea huijui au umeanza kuipenda 2019.
Andre villa Boaz alimaliza nafasi ya ngapi, hukumbuki newcastle ya Demba ba / cisse walimaliza juu yako huo msimu,jaribu kufatilia hata habari za timu yako hujui, yaani we ni zero kweli yani.Tofauti na msimu mwa mwisho wa Mourinho na wa mwisho wa Conte sikumbuki tena ni lini Chelsea imemaliza nje ya top four. Kuanzia msimu 2002/2003 tukiwa na Raniel ndo nimeshabikia mpira na kaunza kuufatilia zaidi. Sijui unataka nn hasa
ABV alifukuzwa katikati ya msimu wewe ..timu akapewa De Matteo ..moja kwa moja akafika fainali uefa na kubeba ..wewe uliyemaliza juu yetu ulibeba nini? uyo Nu Casto alibeba nini?Andre villa Boaz alimaliza nafasi ya ngapi, hukumbuki newcastle ya Demba ba / cisse walimaliza juu yako huo msimu,jaribu kufatilia hata habari za timu yako hujui, yaani we ni zero kweli yani.
Chelsea ni timu iliyoanzishwa 2005 , lakini sasa hivi inarudi ilipotoka , sio muda itakuwa timu ya middle table.MISIMU YA KARIBUNI MULIYOCHEZA UROPA
1) 2012/13 (Mulibeba)
2) 2016/17 (Hamukubeba)
3) 2018/19 (Mulibeba)
Lakini nyinyi mumezoea kujitungia historia za uongo! Eti mumeshiriki Mara 2 na zote mumebeba!!
Kumbe hata ukumbuki ..tuliposhia nafasi ya kumi tulichezaje Europa mkuu? Au Europa zinaenda hadi timu zilizoshika nafasi ya kumi. Msimu wa kwanza wa Conte hatukucheza Europa mzeMISIMU YA KARIBUNI MULIYOCHEZA UROPA
1) 2012/13 (Mulibeba)
2) 2016/17 (Hamukubeba)
3) 2018/19 (Mulibeba)
Lakini nyinyi mumezoea kujitungia historia za uongo! Eti mumeshiriki Mara 2 na zote mumebeba!!
aisehhhhhh we jamaa hebu kubali yaishe tu maana sidhani hata mpira wenyewe ulikuwa unaangalia au umesimuliwa maskani,haya basi mshindi ni weweSikia nikuelekeze,amevunja record ya kumpita Van dijk kwenye league baada ya games hamsini..hio ni moment moja tu kwenye game ambayo haichukui hata dakka moja..kwa kifupi ni kua katika mara zote alizojaribu ni mara moja tu alifanikiwa na hata hivyo Van dijk bado alimkimbiza kwenda kuchukua tena mpira..nnachojqrib kukueleza ni kua kumpita Van dijk haimaanishi kua kwenye hio game umemsumbua ndio maana nikampa mfano wa Gabriel jesus pia alimpita kwenye game ya liver na city community shield,leroy sane alimpita kwenye UEFA nations league walipocheza against Germany...
Lakini KWENYE LIGI ndio alikua hajapitwa kwa muda mrefu ila kwenye competitions hizo mbili nilizokutajia wapo wachezaji walifanikiwa.
Lengo ni kukwambia kua kumpita Van dijk mara moja kwenye mechi yenye dakika 90 haimaanishi kua umemsumbua ila tu ulifanikowa kufanya kitu ambacho kwa dakika hizo 90 umejaribu sana.
Lionel Messi alimsumbua Van dijk kwenye game ya Camp nou lakini hakunpita hata mara moja lakini ALIMSUMBUA sana katika game ambazo Van dijk alipata shida ni ile lakini pia Messi hakufanikiwa kumpita.
Nnachomqanisha ni kua kudrible past him haimaanishi umemsumbua ila umefanikiwa tu kufanya kitu ambacho unajaribu na kufail mara nyingi.
Waliompita nimekutajia naamini ulikua hujui ndio maana unasema naongea nini..uwe unatofautisha kati ya all competitions na only league.
Hao wachezaji kwenye hizo game pia hawakumsumbua maana kwanza walicheza kawaida sana kwa hio jua kua kumpita haimaanishi umesumbua sana