Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,694
Hii wiki muache apunguze machungu ya vipigo ndan ya wiki 3,Asee ni bora ungekaa kimya tu, naona unajichosha for nothing, Sisi hatukuwazii kabsa, wewe pambana na the likes of Aston villa, Norwich ,Newcastle et al. hao ndo saizi yako nw.
Yani kwa sababu liver amekufunga ndo atanifunga na mimi ..sahau! Apo tuna uwakika wa kuondoka na point sio chini ya sabaMechi ijayo ya shelfield utashinda, lakini game 3 zijazo lazma ujipige ban wolves,liverpool,soton... wewe utafunga waliopanda daraja tu ndo level yako for now.
time will tell
Hapa ndio umeongea nini mkuu?ushaambiwa jamaa kavunja rekodi yake ya toka mwaka jana hajawahi kupitwa hivyo wewe wasema maforwad kibao wamempita hebu wataje basi.....unabishana na takwimu....hovyo kabisa wwKuvinja rekodi haimaanishi kampelekesha boss sema ilitokea occasion moja akawa amempita na ndio hio hio akaweka record..hakuna mda mwingine wowote alimpita wala kumsumbua
Mbona hata game ya man cty na liver ya community shield jesus alimpita kwani ndo maana yake alimpelekesha?
Sema tu pepe alikua na game nzuri kama maforward kibao tu wakicheza game na liverpool lakini haimaanishi wamempelekesha.
Watu kama hao mm huwa nawaacha tu, maana hata mpira kuuchambua hawez, anakwambia amepitwa na wengi tu, nimeona nimuache nikae kimya,Hapa ndio umeongea nini mkuu?ushaambiwa jamaa kavunja rekodi yake ya toka mwaka jana hajawahi kupitwa hivyo wewe wasema maforwad kibao wamempita hebu wataje basi.....unabishana na takwimu....hovyo kabisa ww
Emery mkataba wake sio miaka mitatuYaani hadi mpaki basi Mou anajua kabisa ukiweka Auba laca pepe ,ni hatari , ila emery haelewi hilo ......
Ni muda muafaka sasa Mkataba ukiisha wamlete Eddie howe,,Lucho(Luis Enrique) au Allegri ,
Huyu emery hamna kocha hapa ....
JOSE MOURINOH : "Arsenal have improved their defense, and i think they have the best goal keeper in the world. Leno is very sharp, nobody expected that but he is.. For me, Tottenham might score but not that easily because they also must be prepared to defend a very good attacking of the likes of Pep, Aubemeyang znd and Laccazate who are very dangerous. It will not be easy. "
JOSE MOURINOH 'S WORDS TO ARSENAL
*Manchester United will be without Luke Shaw against Arsenal*
*That means Nicolas Pepe vs. Ashley Young*
*Ladies and gents, you will be entertained!*
Sikia nikuelekeze,amevunja record ya kumpita Van dijk kwenye league baada ya games hamsini..hio ni moment moja tu kwenye game ambayo haichukui hata dakka moja..kwa kifupi ni kua katika mara zote alizojaribu ni mara moja tu alifanikiwa na hata hivyo Van dijk bado alimkimbiza kwenda kuchukua tena mpira..nnachojqrib kukueleza ni kua kumpita Van dijk haimaanishi kua kwenye hio game umemsumbua ndio maana nikampa mfano wa Gabriel jesus pia alimpita kwenye game ya liver na city community shield,leroy sane alimpita kwenye UEFA nations league walipocheza against Germany...Hapa ndio umeongea nini mkuu?ushaambiwa jamaa kavunja rekodi yake ya toka mwaka jana hajawahi kupitwa hivyo wewe wasema maforwad kibao wamempita hebu wataje basi.....unabishana na takwimu....hovyo kabisa ww
Shabiki wa chelshit huna haki ya Kuzurula humu, wewe kumaliza ligi juu ya leicester au wolves ni dhambi msimu huuArsenal hamwezi kuwafunga Man U hats wangekuwa wachezaji 9 uwanjani
Chelshit ndo nini Wewe acha uduwanzi ..hichi kitimu chako kitachezea vichapo mwanzo mwisho ..mnacheza na Burnley mnaunga unga ushindi ..ninyi Mina point zetu sita kama sio nne..Shabiki wa chelshit huna haki ya Kuzurula humu, wewe kumaliza ligi juu ya leicester au wolves ni dhambi msimu huu
Zee maarufu la kujipiga ban.hheheheh!Chelshit ndo nini Wewe acha uduwanzi ..hichi kitimu chako kitachezea vichapo mwanzo mwisho ..mnacheza na Burnley mnaunga unga ushindi ..ninyi Mina point zetu sita kama sio nne..
Zee maarufu la kujipiga ban.hheheheh!
Msimu uliopita tulipowafunga tulikuwa wangapi? Acha kuongea ugoroArsenal hamwezi kuwafunga Man U hats wangekuwa wachezaji 9 uwanjani
Hahahah hivi wewe sindio umeshinda kwa mbinde kwa Norwich?Chelshit ndo nini Wewe acha uduwanzi ..hichi kitimu chako kitachezea vichapo mwanzo mwisho ..mnacheza na Burnley mnaunga unga ushindi ..ninyi Mina point zetu sita kama sio nne..
Ndan ya mech 5 zijazo utashinda mech 1, tu,ban za nini mkuu naomba wikiend ijayo ushuhudie ushindi mnono..
Wewe ni mbishi sana na unazi umekuzidi, hebu soma na wachambuzi wakubwa wanasemaje kuhusu hilo.Sikia nikuelekeze,amevunja record ya kumpita Van dijk kwenye league baada ya games hamsini..hio ni moment moja tu kwenye game ambayo haichukui hata dakka moja..kwa kifupi ni kua katika mara zote alizojaribu ni mara moja tu alifanikiwa na hata hivyo Van dijk bado alimkimbiza kwenda kuchukua tena mpira..nnachojqrib kukueleza ni kua kumpita Van dijk haimaanishi kua kwenye hio game umemsumbua ndio maana nikampa mfano wa Gabriel jesus pia alimpita kwenye game ya liver na city community shield,leroy sane alimpita kwenye UEFA nations league walipocheza against Germany...
Lakini KWENYE LIGI ndio alikua hajapitwa kwa muda mrefu ila kwenye competitions hizo mbili nilizokutajia wapo wachezaji walifanikiwa.
Lengo ni kukwambia kua kumpita Van dijk mara moja kwenye mechi yenye dakika 90 haimaanishi kua umemsumbua ila tu ulifanikowa kufanya kitu ambacho kwa dakika hizo 90 umejaribu sana.
Lionel Messi alimsumbua Van dijk kwenye game ya Camp nou lakini hakunpita hata mara moja lakini ALIMSUMBUA sana katika game ambazo Van dijk alipata shida ni ile lakini pia Messi hakufanikiwa kumpita.
Nnachomqanisha ni kua kudrible past him haimaanishi umemsumbua ila umefanikiwa tu kufanya kitu ambacho unajaribu na kufail mara nyingi.
Waliompita nimekutajia naamini ulikua hujui ndio maana unasema naongea nini..uwe unatofautisha kati ya all competitions na only league.
Hao wachezaji kwenye hizo game pia hawakumsumbua maana kwanza walicheza kawaida sana kwa hio jua kua kumpita haimaanishi umesumbua sana