Mkuu nakubali Liverpool ni superior team kwa sasa hivyo kufungwa pale Anfield sio inshu kubwa sana. Inshu ni tactics za kocha. Selection yake ya wachezaji imetuacha na maswali makubwa sana.
Kama tunategemea akina Willock washindane na Fabinho/Henderson kwenye kiungo wakati una LT nje una Mpambanaji Lacca anaingia dakika 10 za mwisho basi kuna tatizo.
We are going to win this match, dont be afraidMkuu Aaron,
Liverpool ni superior team kwa sasa na Arsenal wamefungwa kwa makosa ambayo waliyatengeneza wenyewe.
Mtindo wa Diamond uliacha nafasi kubwa upande wao wa kulia na kushoto hivyo Sadio Mane na Salah hawakuwa na kazi ngumu ya kupenya back 4.
Na sio tu hao wawili hata Alexandra Anold na Robertson nao walikuwa wakipanda wanavyotaka.
Arsenal wangecheza mtindo wao wa kawaida wa 4-3-3 ambao angalau ungewezesha kupunguza mashambulizi ya mabeki hao wawili wa Liverpool na ingepelekea hata kutoa sare.
Lakini mtindo wa Diamond wa 4-4-2 dhidi ya timu kama Liverpool?
Halafu pia huu ni wakati wa kumpumzisha Nacho Monreal ambae kwa umri wa miaka 33 amechoka.
Sifahamu ni sababu gani za kumweka bench Kolasinac na Lacazette na hawa ndo wangekamilisha ile back 4 na kule mbele kati.
Ila tuwe positive na tukumbuke Arsenal hadi mapumziko walikuwa nyuma kwa goli 1 na siyo 3 kama msimu ulopita.
Liverpool walikuwa ni Superior team na Tottenham hawatakuwa superior team kwetu.
Tusubiri Arsenal Vs Tottenham
Mm nlitaka jana wangeanza wote na laca,na auba ile liver inafungika kwan wanaanzia kukaba mstari wa juu kwa kasi ya foward ya arsenal tungepata kitu. Sema tuliwaruhusu wakacheza katikat sana tukawalaimisha kina Auba kushuka sana nao wakawa wameingia mtego wa kukabwa kwa nguvu.
Tunacheza taratib sana tokea nyuma tukilinganisha na wwachezaj wenye kasi tulionao. Tunaishia kujitahidi tu na sio kuonyesha uhalisia.
Jana tumefungwa kwa poor tactics na uoga wa kocha kujilinda wakat unajua kujilinda huko unatakiw upaki basi kwl tukirefer kwa Mou.
Mpk sasa nmeona kwa macho yangu tuna point6 za man city na point6 za Liver. Kocha hawez kuw na mbinu dhid ya hawa watu wawili yaan Klop na Pep.
Jana tumefungwa na Emery kwnn Laca nje, Toreira nje then unaweka watot kujaribu??? Unajaribiaje kwa bingwa wa Ulaya? Au alihisi ni pre season? Unajaribuje kwa wachezaj waliokaa mda mref na wanaelewana kila kitu???
Nataman niattack mchezaj m1 m1 kwa perfomance ya jana lkn acha niwaache kwanza nitupe lawama kwa kocha.
David Luiz simlau naomba nimwongelee huyu tu kwa niaba ya Mustafi, kazi anayofanya ameifanya pia Chelsea. Ni mchezaj ambay utamfaid sana mkicheza nyie. Ni true kamanda pale nyuma ila anaingia kwny mtego kama mustaf anakaba kuklia makosa ya viungo kutokana na tactics mbov za mwlm.
Mwisho:iko wapi philosophy yetu tuliyotamba nayo muda mrefu kucheza soka safi?
Wapi Wenger ball???
Unai anataka kutwambia nn??
"masilai" "Asernal" ndio nini wewe, hujui kuandika au?Tatizo la mashabiki wa asernal mna matarajio makubwa kwenye timu yenu kuliko management ya asernal hapo ndo mgongano wa masilai unapoanzia kuweni wapole ni chelsea pekee ambapo boss akiona timu anabolonga anafanya maamuzi fasta
Pole sana wana asernal ndo mpira huo
Huijui Arsenal ,hujui chochote kaa kimya , Kocha kaletewa wachezaji hawapangi , management inahusika vipiTatizo la mashabiki wa asernal mna matarajio makubwa kwenye timu yenu kuliko management ya asernal hapo ndo mgongano wa masilai unapoanzia kuweni wapole ni chelsea pekee ambapo boss akiona timu anabolonga anafanya maamuzi fasta
Pole sana wana asernal ndo mpira huo
Hiki kikosi ndio kila MTU alikitarajia ,hata wachambuz wa sky wanamshangaa unai kwa poor team selection ,Nguvu kubwa ya Liverpool ni mabeki wao wawili Trent-Alexnder Arnold na Andy Robertson.
Ni kweli kama Arsenal wangechezesha kikosi chake kamili kule mbele Pepe, Laca na Aubameyang. kati Xhaka na Torreira na AM Ceballos.
Nyuma kushoto Kolasinac, kulia Maitland-Niles kati Sokratis na Luiz.
Baade unaingiza DMs Guendouzi, Mikhy na Ozil maana ni big game.
Unaachana na akina Willock na wengine unawaambia hii ni big game ni kushinda au sare.
Yaan Jana hadi nimemkumbuka Arsene ,Mkuu Aaron,
Liverpool ni superior team kwa sasa na Arsenal wamefungwa kwa makosa ambayo waliyatengeneza wenyewe.
Mtindo wa Diamond uliacha nafasi kubwa upande wao wa kulia na kushoto hivyo Sadio Mane na Salah hawakuwa na kazi ngumu ya kupenya back 4.
Na sio tu hao wawili hata Alexandra Anold na Robertson nao walikuwa wakipanda wanavyotaka.
Arsenal wangecheza mtindo wao wa kawaida wa 4-3-3 ambao angalau ungewezesha kupunguza mashambulizi ya mabeki hao wawili wa Liverpool na ingepelekea hata kutoa sare.
Lakini mtindo wa Diamond wa 4-4-2 dhidi ya timu kama Liverpool?
Halafu pia huu ni wakati wa kumpumzisha Nacho Monreal ambae kwa umri wa miaka 33 amechoka.
Sifahamu ni sababu gani za kumweka bench Kolasinac na Lacazette na hawa ndo wangekamilisha ile back 4 na kule mbele kati.
Ila tuwe positive na tukumbuke Arsenal hadi mapumziko walikuwa nyuma kwa goli 1 na siyo 3 kama msimu ulopita.
Liverpool walikuwa ni Superior team na Tottenham hawatakuwa superior team kwetu.
Tusubiri Arsenal Vs Tottenham
Hakuna cha mech fitness kaka, pale hatuna kocha , Huyu unai ndio msimu uliopita toreira mech 4 kawa man of the match , akaanza kumpiga bench na kumbadilisha namba ,Unai ameshindwa kabisa kwenye team selection, sijajua LT na Lacca wana shida gani hadi kuwekwa bench(huenda kuna technical reasons ikiwepo match fitness) ila kwa lineup ile lazima Liver wangetufunga tu.
[emoji23]
Nimekuja kukazia. Timu zote zilizocheza ugenini wiki hii zimeondoka na matokeo kasoro Arsenal. |
Hao Spurs hata waanze na nani, tutawafunga tu.If Spurs start with Rose and Walker-Pieters next week and we start our strongest front 3 we're going to anihilate them.
Anfield Arsenal hachomokiIla inshort niseme tu *Poor team selection* , *kiburi cha unai* , *Ujinga wa unai* *Mahaba Niue ya unai* ndo yameamua game ya Jana .
Liverpool asingeshinda mechi kama wangeanza wote akina Lucas, xhaka,pepe,auba,lacazete,mikh/ozil
Hapo alikuwa hapotezi mechi maana kama pepe Jana aliweza kumpeleka VVD vile unadhan angekuwepo lacazete akatoa back up kingetokea nn ??
*unai ni msimamiz wa mazoezi tu ...ile team.hata mkwasa kwa sasa anaweza akachukua na akafanya vzuri*
hizo statics zako umezitolea kijijini kwenu au?! ni bora unyamaze kimya kama huna uwakika.....Msimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa kati
Yule mtangazaji alinifurahisha sana [emoji28]New season new arsenal same results [emoji38][emoji38][emoji38]