Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi kusema kweli akixheza Guendouzi huwa nakuwa na mashaka sana mpaka mechi inaisha.... Ila nadhani kocha antaka asiwepo mchezaji atakayejiona bila yeye timu haiendi.. Halafu huyu pepe mechi ijayo ataanza!..
Emery awe serious sasa ,aweke kikosi strong ,
 
The team worked perfectly in this tough match. I am very proud of my teammates! And most of all, Arsenal fans were spectacular. I have felt their support and love since the first ball contact. 3 more points! Now we have to keep up working! Let's go!

Arsenal #Gunners
 
Mimi kusema kweli akixheza Guendouzi huwa nakuwa na mashaka sana mpaka mechi inaisha.... Ila nadhani kocha antaka asiwepo mchezaji atakayejiona bila yeye timu haiendi.. Halafu huyu pepe mechi ijayo ataanza!..
Mkuu, huyu matteo mimi mwenyewe huwa namdiss sana lakini kiukweli game ya leo alikua anapandisha timu vizuri, kacheza sana nimempenda for real, ila shida yake kubwa ni kwenye kudefence pale timu inapokua haina mpira.
 
Awa madogo pelekeni championship uko ..laa siivyo mutaendelea kushiriki Europa tu..
 
Dah! kumbe mkuu Afadhali aisee gap lisiwe kubwa.
Hahaha kwa iyo na nyie arsenal kwa sasa munaomba Man city apigwe ili gape lisiwe kubwa hahahaha
maisha yanaenda kasi sana aise...

Hongereni sana wakuu muna impruvu kwa kasi sana
 
Hahaha kwa iyo na nyie arsenal kwa sasa munaomba Man city apigwe ili gape lisiwe kubwa hahahaha
maisha yanaenda kasi sana aise...

Hongereni sana wakuu muna impruvu kwa kasi sana
Unatuchukulia poa eeeh, msimu huu mimi nyie siwahesabu kama ni timu.Tunapiga nje ndani, pointi 6 za bure, labda mkamkodi hazard aje kuwasaidia.

kocha wa mazoezi yule atamfunga nani??
 
Mkuu, huyu matteo mimi mwenyewe huwa namdiss sana lakini kiukweli game ya leo alikua anapandisha timu vizuri, kacheza sana nimempenda for real, ila shida yake kubwa ni kwenye kudefence pale timu inapokua haina mpira.
Leo kacheza vizuri sana kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…