Ceballos kauwasha.
Kila mpira ulipo yupo.
Anajua kukaba.
Anatoa pasi.
Anapiga chenga za maudhi hadi watu wanamkumbatia. Hiki cheo cha ujuzi wa chenga tulitaka kumpa Iwobi, ila C3ballos hatumpi ni kachukua tayari.
Akiwa constant na hichi kiwango, Xhaka na Ozil watasahaulika.
Pepe bado anahitaji muda. Ila anafocus na mchezo, anamtoka mtu vizuri, kwenye pasi naamini kuna kitu anataka hakiwi ila kikiwa itakua ni uhakika na magoli.
Baada ya Pepe kuingia wachezaji wakawa wanampelekea sana mipira nahisi huko mazoezini hua anawaonyesha kazi zaidi ya tunayoiona huku uwanjani.
Hawa wote wapewe game time zaidi.
Huyu jamaa sidhani kama anahitaji kurudia Madrid kwasababu anakiwasha kwa mapenzi ya team.Lacazette and Auba BEAUTI goals[emoji1624][emoji7]
Ceballos AWESOME technique and WONDERFUL assist to both Laca and Auba[emoji122]
All round ROCK SOLID defence[emoji1320][emoji57]
Nelson & Willock performing well[emoji1305][emoji106]
Mustafi no where to be found[emoji57]
Mkhi not starting[emoji57]
Super Leno[emoji7]
Nicolas Pepe's skill[emoji122][emoji1305][emoji39]View attachment 1183827
Habari hiyo manyau wakutane nayo.
Hahaaaaaaaaa ni kupiga ramli tuHabari hiyo manyau wakutane nayo.
Eee ukumbuki alikutungua Europa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]giroud ndo mshambuliaji wenu bora eti
Mbona unaleta lugha za matus humu ?
Sasa kante ataanzia kwenye gemu dhidi yenu ...nadhani umeona kazi yake ...jipangeni sana...Hahahaha kazi unayo. Kocha wenu miyeyusho badala ya kumuanzisha Kante eti kamuweka bench mkala nne, asingeingia mngepigwa wiki
Unai ndo miyeyusho aliyepitiliza ..mchezaji aliyevunja record ya arsenal uyo Pepe ana anzia bench[emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wa mikopo ambao sio wa kwenu wana anza ..huu ni upumbavu wa hali ya juu anafanya uyu kocha..thamani yake iko wap sasa au bado mnadaiwa maana mnalipa kwa mafungu mafungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha kazi unayo. Kocha wenu miyeyusho badala ya kumuanzisha Kante eti kamuweka bench mkala nne, asingeingia mngepigwa wiki
MtafurahiSasa kante ataanzia kwenye gemu dhidi yenu ...nadhani umeona kazi yake ...jipangeni sana...
Acha ujinga kakojoe ulale hatuombi heshima kwako tunajikubali wenyewe ndiyo maana tupo Arsenal.Yaani unafananisha usajili wa man City na taka taka za arsenal we sio mzima
Mkuu nami nilikuwa church, tuna bahati mbaya msimu huu mechi zetu nyingi zipo jumamosi kulinganisha na msimu uliipita nyingi zilikuwa jumapili .... Ila la muhimu tumeshinda, tusubiri gemu la liverWakuu nasikia ceballos kauwasha
Nipen tathimin ya pepe
Leo nipo kanisan sijaangalia mpira
Emery awe serious sasa ,aweke kikosi strong ,Mkuu nami nilikuwa church, tuna bahati mbaya msimu huu mechi zetu nyingi zipo jumamosi kulinganisha na msimu uliipita nyingi zilikuwa jumapili .... Ila la muhimu tumeshinda, tusubiri gemu la liver
Ni wazuri sema wanahitaji uzoefu ila kuwaanzisha kwenye mechi ngumu hasa dhidi ya big six ni kuwatafutia lawama.Joe Willock:
“ Wote tunatokea sehemu moja - Hale End - na wote tunaendelea vizuri. Kucheza karibu na rafiki yangu wa karibu Reiss Nelson ni vizuri. Ndoto imetimia. Naishi ndoto yangu."
Umeomaje viwango vya vijana wetu hii leo?View attachment 1183954