Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
We gonna aim high, we have a week to prepare broBaada ya miaka 10 kwa mara ya kwanza Arsenal inashinda mechi mbili za mwanzo wa msimu.
Dani Ceballos MOTM
Up next Anfield to Liverpool.
Hii tukitoa sare litakuwa jambo la uzuri.
Let's hope tuna vifaa hatujavichezesha ambavyo vitatusaidia kwenye game na Liva.Baada ya miaka 10 kwa mara ya kwanza Arsenal inashinda mechi mbili za mwanzo wa msimu.
Dani Ceballos MOTM
Up next Anfield to Liverpool.
Hii tukitoa sare litakuwa jambo la uzuri.
Anasema it was so tricky game, putting barnes and wood in the pocket, all credits should go to sokratis and Luiz.Anasemaje, Leo hata mech sijaangalia
Sikatai kama ceballos amefanya njema sana, am happy for the same. Halafu hao wawili wanacheza namba tofauti, pengine hiyo zuia zuia ya Guendouzi ndio inampa uhuru ceballos kufanya yakeSimchukii. Ila naona hajatosha bado.
Yule atengeneze stamina, ajenge control atakua bonge la mtu.
Ceballos hii ni mechi ya 2 lakini kila sehemu mpira upo na yeye yupo na anaufanya poa kuliko Guendouz
Ceballos kauwasha.Wakuu nasikia ceballos kauwasha
Nipen tathimin ya pepe
Leo nipo kanisan sijaangalia mpira
Kakiwasha ceballos noma! Nina uhakika liver wanajambiana tu huko. Ceballos was exceptional today.Wakuu nasikia ceballos kauwasha
Nipen tathimin ya pepe
Leo nipo kanisan sijaangalia mpira
Asanteni ,nimeelewa sasaCeballos kauwasha.
Kila mpira ulipo yupo.
Anajua kukaba.
Anatoa pasi.
Anapiga chenga za maudhi hadi watu wanamkumbatia. Hiki cheo cha ujuzi wa chenga tulitaka kumpa Iwobi, ila C3ballos hatumpi ni kachukua tayari.
Akiwa constant na hichi kiwango, Xhaka na Ozil watasahaulika.
Pepe bado anahitaji muda. Ila anafocus na mchezo, anamtoka mtu vizuri, kwenye pasi naamini kuna kitu anataka hakiwi ila kikiwa itakua ni uhakika na magoli.
Baada ya Pepe kuingia wachezaji wakawa wanampelekea sana mipira nahisi huko mazoezini hua anawaonyesha kazi zaidi ya tunayoiona huku uwanjani.
Hawa wote wapewe game time zaidi.
Hahaha ok mechi bado zipo Guendouz atathibitisha nani yupo sahihi kati ya wewe na mimiSikatai kama ceballos amefanya njema sana, am happy for the same. Halafu hao wawili wanacheza namba tofauti, pengine hiyo zuia zuia ya Guendouzi ndio inampa uhuru ceballos kufanya yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Congratulation to my team Arsenal
Ramli tuzihamishihen mtaa wa pili , Chelsea & utd wapigwe ,
Hatushindani mzeee hahahaahhahHahaha ok mechi bado zipo Guendouz atathibitisha nani yupo sahihi kati ya wewe na mimi
Luiz ni kama Mustafi katika kukabia macho lakini kwenye hii game jamaa kawa mtamu. Kablock attempts nyingi mno.Anasema it was so tricky game, putting barnes and wood in the pocket, all credits should go to sokratis and Luiz.
Anazungumzia ile game ya kibabe ile (something arsenal have been missing for sometimes now)
Wakuu nasikia ceballos kauwasha
Nipen tathimin ya pepe
Leo nipo kanisan sijaangalia mpira
Kwahyo ww ukishachukua points huna haja ya kutazama mapungufu au sio?Hali ndio kama hii, with guendouzi in the team, tumechkua point 6 tayar
Ukiwa serious na maisha utashabika mambo ya maana siyo huu utumbo ulioandika hapo.Ozil, shaka, bellerin, Tierney, elneny, mkhitaryan, holding, mavropanos, chambers, Martinez, saka
Hiyo ni timu nyengine that could play a game later today against Chelsea na ikashinda
Luiz ni kama Mustafi katika kukabia macho lakini kwenye hii game jamaa kawa mtamu. Kablock attempts nyingi mno.