Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unai ujuaji haufai, ujuaji wako utakuondoa Arsenal kabla ya hao watoto unaowapenda
 
Timu imecheza kawaida tu ila kikubwa kinachoonekana ni bado kunahitaji kuzoena lwa wachezaji ili waweze ku link wakiwa uwanjani.. Kwa mimi Weakness ilikuwa kwa mick maana alikuwa ni kama hayupo mchezoni ila zaidi ya hapo haya wale watoto walioanza wamecheza vizuri kama wataendelea hivi basi watatusaidia sana huko mbele has kwenye uropa na hizi cup matches..
 
Nilisema, naomba isiwe hivyo, I see Suarez in Ceballos
Hii ni mechi ya kwanza bado 37 ila wamejitahidi sana ukizingatia ceballos Pepe wameingia kipindi cha 2 ila kwa sasa hamna kisingizio angalia Ozil Kolasinac Lacazette Toreira Luiz wote hao hata uwanja hawajagusa kabisa ila kwangu man of the match ni Xhaka jamaa akitulia huwa ni balaa
 
Arsenal leo wameanza kampeni ya 2019/2020 kwa Aubameyang kufunga goli pekee katika mechi ya ugenini.

Unai Emery alikuwa anajaribu kuwaanzisha taratibu wachezaji wake wapya na akawaingiza kipindi cha pili baada ya goli la Aubameyang.
arsenal-newcastle-1-0-640x394.jpg

It was a gamble. But it paid off.

COYGs!!
 
Hii ni mechi ya kwanza bado 37 ila wamejitahidi sana ukizingatia ceballos Pepe wameingia kipindi cha 2 ila kwa sasa hamna kisingizio angalia Ozil Kolasinac Lacazette Toreira Luiz wote hao hata uwanja hawajagusa kabisa ila kwangu man of the match ni Xhaka jamaa akitulia huwa ni balaa
Timu ilikuwa na makinda karibu wanne na imecheza vzr sana,

Wachezaji first eleven 13 hawakuwepo ,
 
Tumecheza wastani.

Namna yetu ya kuanza gemu kila mpira ukitoka ni ngumu kwakua hatuna watu wa kati na pembeni wenye nguvu na uwezo wa kumiliki mpira.

Hivyo tunaanza mpira ndani ya 18. Kisha shambulizi linakosa mwelekeo tunarudisha tena mpira nyuma.

Willock na Nelson walikua poa.

Niles nilisema anaimprove kila mechi. Kathibitisha hilo.

Tumefokas kumiliki mpira kuliko kufunga. Mechi imeboa.

Kwakua ni mwanzo tujipe moyo.
 
Wachezaji first 11 , kama 13 hawakuwepo. ,na tu imecheza vzr hasa beki

COYG
yeah beki zimetulia vizuri leo, nadhani wakipata mechi kadhaa na kuelewana aise watanoga sana, na rotation kadhaa ili tujue nani anaendana na nani!
 
Hakika beki Leo imecheza vzr ukizingatia ni Away,

Willock, Niles , gunduz ,wamecheza vzr sana

Nisimsahau Chambers hana ujinga wa mustafi
 
Back
Top Bottom