Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kuanzia Leo mjiandae kisaikolojia , ninachokupendea hujipigagi ban kama yule mwenzako,Hahahaa.. Hamna hadhi ya kumiliki mchezaji kama huyo.Unadhani comments zenu jukwaa la Manure sijaziona.
Niambie bixente umenikumbusha mbali sana na huyu mwamba acha tu tuangalie hivi vituko vya siku hizigo gunners go! this season is ours
Hujazoe changamoto? Japo Leo kuna wachezaji karibu 9 wanahati hati yakutokucheza,Nacheka lakini naogopa... Aisee tukiharibu hii game tutapata tabu sana mtaani
Uyu tutamchukua then akifikisha umri kama wa Luiz tutawarudishia tu[emoji3][emoji3]Hapo siyo nyumbani kwake. Huyo ni mchezaji wa Chelsea hapo ni sawa tumemleta kwa mkopo apate uzoefu na ligi. Hafikishi miaka 26 bado akiwa Arsenal.
Yan tungekua hatuna ban nyie sijui mngekuwaje sa ivi.