OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Angalia timu walizofika ao wachezaji, wangefika Arsenal wangefanikiwa chochote? Arsenal sisi tunaijua bana. Wachezaji wengi walipata mafanikio baad ya kuondoka arsenal mf Van perse, Samir Nasri, Fabrigas, bernayoun, na wengin wengi. Wachach ndo walifel kma Alexander Song, micktarian, Alexis, na kadhalika. Arsenal tunaijua bana sio clab ya kuleta mafanikio kwa wachezaji wengi hasa wa kutoka ufaransa ligue 1 ..wengi walifeli na wataendelea kufeli tu apo, ata uyo Pepe atafeli mapema sana. Arsenal yenye kuleta mafanikio iliisha na kizazi cha akina Thierry Henry baada ya hapo ni kupanda na kushuka tu kusiko eleweka..Kwahiyo huyo ngolo kante,bakayoko na hazard wametoka ligi gani????duh kweli wewe unafaa kupewa tuzo ya uropokaji bora,
League 1 iliyokutolea wachezaji waliokitoa hiko kitimu chako cha uchochoroni japo na wewe leo hii umekajua na kuanza kukishabikia unaitusi hivi??????
Drogba ndio aliyeitambulisha hiyo cheltako na alitoka marseille league 1 leo unaiita ligi ya wakulima!!!!!!!jamani jamani....
Au kipindi hazard anasajiliwa kutoka lille wewe bado ulikuwa nyamkunya huko?????huyajui ya duniani?
Deschamps
Dersaily
Zouma
Malouda
Bakayoko n.k nao muliwatoa hukohuko hebu kuwa na adabu bwamdogo
Wewe si huwa unafurahishwa na masela..Huo ni mtambo ,usikuumize kichwa
Mimi unadhan nitahangaika na mtamboWewe si huwa unafurahishwa na masela..
Mkuu sisi arsenal huwa tunafanya usajili wa kijinga jinga sana mwishowe tunaishia kupigwa tu, angalia saiv tunalipa fedha za watu kwa mafungu.Hahahaah! Jamaa unateseka sana yani unaumia kweli, inawezekana we ni mamluki mliokimbia Arsenal so unatafuta justification ya maamuzi yako humu.
Tumekuelewa nabii TitoAngalia timu walizofika ao wachezaji, wangefika Arsenal wangefanikiwa chochote? Arsenal sisi tunaijua bana. Wachezaji wengi walipata mafanikio baad ya kuondoka arsenal mf Van perse, Samir Nasri, Fabrigas, bernayoun, na wengin wengi. Wachach ndo walifel kma Alexander Song, micktarian, Alexis, na kadhalika. Arsenal tunaijua bana sio clab ya kuleta mafanikio kwa wachezaji wengi hasa wa kutoka ufaransa ligue 1 ..wengi walifeli na wataendelea kufeli tu apo, ata uyo Pepe atafeli mapema sana. Arsenal yenye kuleta mafanikio iliisha na kizazi cha akina Thierry Henry baada ya hapo ni kupanda na kushuka tu kusiko eleweka..
Acha shobo na timu za watu, subiri tukutane na nyie manyumbu utaelewa tunasajili kijinga au laaMkuu sisi arsenal huwa tunafanya usajili wa kijinga jinga sana mwishowe tunaishia kupigwa tu, angalia saiv tunalipa fedha za watu kwa mafungu.
Yule mjamaa anayekufurahishaga bado tu hajafanya ivyo?Mimi unadhan nitahangaika na mtambo
Endelea na shobo maana unawashwawashwa sana wiki hiiYule mjamaa anayekufurahishaga bado tu hajafanya ivyo?
Hahaha usipaniki Dogo.Endelea na shobo maana unawashwawashwa sana wiki hii
Mm sipanik ila nikufunza ,Mimi unasema dogo, je ukinikuta natoka chumban kwa mama yako utaendelea kuniita dogo?Hahaha usipaniki Dogo.
Wewe hujielewi nimeamini ,maana unazunguka unarudi palepale....kante mumemtoa leicester sawa,hazard mlimtoa mbinguni?????!!!!drogba mlimtoa akhera????bakayoko mlimtoa bustani ya eden????Angalia timu walizofika ao wachezaji, wangefika Arsenal wangefanikiwa chochote? Arsenal sisi tunaijua bana. Wachezaji wengi walipata mafanikio baad ya kuondoka arsenal mf Van perse, Samir Nasri, Fabrigas, bernayoun, na wengin wengi. Wachach ndo walifel kma Alexander Song, micktarian, Alexis, na kadhalika. Arsenal tunaijua bana sio clab ya kuleta mafanikio kwa wachezaji wengi hasa wa kutoka ufaransa ligue 1 ..wengi walifeli na wataendelea kufeli tu apo, ata uyo Pepe atafeli mapema sana. Arsenal yenye kuleta mafanikio iliisha na kizazi cha akina Thierry Henry baada ya hapo ni kupanda na kushuka tu kusiko eleweka..
Mm sipanik ila nikufunza ,Mimi unasema dogo, je ukinikuta natoka chumban kwa mama yako utaendelea kuniita dogo?
Hivyo hii inatafsiri gani kwetu? Ina maana hatufai!Celtic boss Neil Lennon says Arsenal target Kieran Tierney can't kick a ball without feeling pain
https://t.co/AlIbrdBDIs https://t.co/DAlhN7IlKw
Nimekuelewa ndugu, nimemkwepa, nimeona kaamua kuni qoute kabisa .Kwanini unabishana babu mpila haunaga mabishano acha kutoa free airtime
Huyu dogo ana double hernia ,na ndio kinachofanya arsenal asikilizie ,maana anaweza kufel vipimo, kwasasa yupo injury ,Hivyo hii inatafsiri gani kwetu? Ina maana hatufai!