Juve mbona wameshakataa hiyo OFA
Walikuwa wanataka tumchukue khedira ili watupe na rugan kwa loan,
Bod ya Arsenal haimtaki khedira ,emery anamuhitaji
Na mashart ya juve yalikuwa hivo, maana khedira ana mkataba na juve, na juve wanataka wauvunje hivo kuna hela khedira anatakiwa alipwe , Juve wakasema Arsenal amchukue khedira wamlipe na hiyo hela ,halafu tumchukue Rugani
Bodi ya Arsenal kumkataa Khedira ,Automatically Leo Taarifa zimetoka JUVE WAMEREJECT LOAN YA RUGAN ,
Hivo arsenal ameahimia kwa Mabeki wengine akiwepo na UMTITI