Hahahaah! Jamaa unateseka sana yani unaumia kweli, inawezekana we ni mamluki mliokimbia Arsenal so unatafuta justification ya maamuzi yako humu.Huwa sajili zenu zinaonyesha Arsenal itakimbiza kinoma, lakin mambo yanakuja kuwa Yale Yale ..msimu uliopita mulichukua yule papanin sjui, gundogazzi, Toroira, Leno, na wengine wengin. Badae mukaongeza d Suarez ..tatizo niny munasajili wachezaji munaotaka ninyi tu ..husikii timu ingine ikiwataka. Ndo tatizo apo na hamustuki..mnaleta magarasa yanacheza gemu tano/sita yameshachoka. Uyo Pepe katoka ligi ya wakulima uko kaja kukutana na viungo wenye roho mbaya akina Kante Ngolo, Joghihno, ajakutana na kiungo ya Liver, kuna iyo ya manure achana na iyo ya Man city kuna iyo ya spurs na madogo flan if wa Everton na mbeha wenye njaa kali Wolverhampton hahaha hii timu ya arsenal ni vichekesho kweli kweli. Halafu munaona mumesajili na ela zenu za kulipa kwa mafungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ni mtambo ,usikuumize kichwaKwa hiyo Drogba kusema anaipenda Arsenal kwako umetafsiri ni utoto,ila pepe kwa chelsea umeona si utoto!!
Grow up,mzee, come into the reality ushabiki wa kimahaba mbaya sana
we pepe kuja Arsenal umeumia kweli yani, na ndio kashakuja arsenal now, anavaa jezi nmb 19.
Kwahiyo huyo ngolo kante,bakayoko na hazard wametoka ligi gani????duh kweli wewe unafaa kupewa tuzo ya uropokaji bora,Huwa sajili zenu zinaonyesha Arsenal itakimbiza kinoma, lakin mambo yanakuja kuwa Yale Yale ..msimu uliopita mulichukua yule papanin sjui, gundogazzi, Toroira, Leno, na wengine wengin. Badae mukaongeza d Suarez ..tatizo niny munasajili wachezaji munaotaka ninyi tu ..husikii timu ingine ikiwataka. Ndo tatizo apo na hamustuki..mnaleta magarasa yanacheza gemu tano/sita yameshachoka. Uyo Pepe katoka ligi ya wakulima uko kaja kukutana na viungo wenye roho mbaya akina Kante Ngolo, Joghihno, ajakutana na kiungo ya Liver, kuna iyo ya manure achana na iyo ya Man city kuna iyo ya spurs na madogo flan if wa Everton na mbeha wenye njaa kali Wolverhampton hahaha hii timu ya arsenal ni vichekesho kweli kweli. Halafu munaona mumesajili na ela zenu za kulipa kwa mafungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kamara yupo timu gani?Club talking to Samuel Umtiti and Boubacar Kamara. 2 offers rejected for Rugani. Juve want him gone permanently, unknown if #AFC will continue to pursue his services.
Huyo ni mtambo ,mm nilivyojuaga huu ni mtambo kama NABII tito ,nikaacha kumjibu , nilikuja kugundua ni NABII Tito, maana anaongea nonsense , Badala ajenge hojaKwahiyo huyo ngolo kante,bakayoko na hazard wametoka ligi gani????duh kweli wewe unafaa kupewa tuzo ya uropokaji bora,
League 1 iliyokutolea wachezaji waliokitoa hiko kitimu chako cha uchochoroni japo na wewe leo hii umekajua na kuanza kukishabikia unaitusi hivi??????
Drogba ndio aliyeitambulisha hiyo cheltako na alitoka marseille league 1 leo unaiita ligi ya wakulima!!!!!!!jamani jamani....
Au kipindi hazard anasajiliwa kutoka lille wewe bado ulikuwa nyamkunya huko?????huyajui ya duniani?
Deschamps
Dersaily
Zouma
Malouda
Bakayoko n.k nao muliwatoa hukohuko hebu kuwa na adabu bwamdogo
Tetes tuOyaaaa, naskia Cotinyo wa barca anakuja Arsenal
hahaaaha! NABII TITOHuyo ni mtambo ,mm nilivyojuaga huu ni mtambo kama NABII tito ,nikaacha kumjibu , nilikuja kugundua ni NABII Tito, maana anaongea nonsense , Badala ajenge hoja
Angalia anamponda pepe anasema katoka ligi mbovu, huku anamsifia ngolo ,maana yake hata kujenga nae hoja utaumiza kichwa chake
Sasa unadhani Didier angecheza arsenal angepata mafanikio kisoka? Ndo maana nasema ulikuwa ni utoto unamsumbua. Alivyotambua Chelsea ndo destiny yake iyo iyo arsenal aliyoipenda aliiadhibu vya kutosha. Enewei ngja tuone Pepe atafnya nin atakapokutana na Chelsea maan ndo dream yake.Kwa hiyo Drogba kusema anaipenda Arsenal kwako umetafsiri ni utoto,ila pepe kwa chelsea umeona si utoto!!
Grow up,mzee, come into the reality ushabiki wa kimahaba mbaya sana
we pepe kuja Arsenal umeumia kweli yani, na ndio kashakuja arsenal now, anavaa jezi nmb 19.
Ngolo Kante kaanzia Leicester City na alikuja wakati ambapo timu nying azikujua uwezo wake mapema.Huyo ni mtambo ,mm nilivyojuaga huu ni mtambo kama NABII tito ,nikaacha kumjibu , nilikuja kugundua ni NABII Tito, maana anaongea nonsense , Badala ajenge hoja
Angalia anamponda pepe anasema katoka ligi mbovu, huku anamsifia ngolo ,maana yake hata kujenga nae hoja utaumiza kichwa chake