Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Reports in Spain say Philippe Coutinho is on his way out of Barcelona, with a loan move to the Premier League being sorted out...

But who is interested? Arsenal, Liverpool, Man Utd!??

#TransferTalk #Barca #AFC #LFC #MUFC https://t.co/aR4JXTQHGA
 
Ornstein:

"Well, before deadline day, Arsenal want to bring in a centre half if possible. Left back Kieran Tierney is the target, we all know about that. Arsenal retain their interest in him." #afc
 
Ornstein:

"Well, before deadline day, Arsenal want to bring in a centre half if possible. Left back Kieran Tierney is the target, we all know about that. Arsenal retain their interest in him." #afc
Pepe kapewa mshahara kiasi gan kwa week?
 
According to various sources, Liverpool are in talks with @FCBarcelona regarding two year loan with option to buy for #Coutinho. We also been told Arsenal have been offered Coutinho in last 24 hours but wants #LFC to make offer

#Dembélé also being discussed as a option for lfc
 
Hizo ndoto zilikuwa enzi akiwa Anger hata hajaenda lille

Sasa hivi ndoto zake ilikuwa aje Arsenal
Iyo ni baada ya kuja
cunajua tena ndo anapopatia ugali wake..kaja kuchuma za kwake asepe ..Chelsea ndo destination yake, kaa kutulia muda ukifika.
 
Sio mind game wala nini ..ni baada ya mgt yenu kulia lia mkakubaliwa kulipa kwa mafungu, halafu kutangazwa imelipwa cash yote iyo ni illusion tu maana ni mkataba tiyari uwakika wa kutoka iyo upo, ila kwa mafungu mafungu.
 
Una Moyo mkubwa sana,hivi mchezaji gani wa maana atakuwa na ndoto za kuchezea timu ndogo kama chelsea?nyinyi ni underdog pale england sawa na nottingham forest,blackburn rovers na leicester city
Ulaya na dunia mzima wanaelewa matajiri, wababe, wakubwa wa London wauni wa town ni akina nani ..sasa wee kaa apo umebisha maharage unapumua unajipa moyo na hii Arsenal iliyojichokea. Unai keshasema msitegemee chochote msimu huu..
 
Kwani legend wenu DROGBA alikua anaipenda timu gani kipindi hajaja chelsea,,,mbn unaongeaga pumba we jamaa!
Drogba ilikuwa ni utoto unamsumbua alivyokaa Chelsea msimu mmoja akagundua kuwa timu ya kukuzia jina sio nyingine ni Arsenal. Siku aliyoondoka Chelsea fan boys wa AssAnal mulifurahi kuliko pita maelezo...
 
Another possible way of lining up:
4-3-3
Leno

Bellerin Sokratis Holding Tierney

Torreira Xhaka

Ceballos/Ozil

Pepe Auba
Laca
Huwa sajili zenu zinaonyesha Arsenal itakimbiza kinoma, lakin mambo yanakuja kuwa Yale Yale ..msimu uliopita mulichukua yule papanin sjui, gundogazzi, Toroira, Leno, na wengine wengin. Badae mukaongeza d Suarez ..tatizo niny munasajili wachezaji munaotaka ninyi tu ..husikii timu ingine ikiwataka. Ndo tatizo apo na hamustuki..mnaleta magarasa yanacheza gemu tano/sita yameshachoka. Uyo Pepe katoka ligi ya wakulima uko kaja kukutana na viungo wenye roho mbaya akina Kante Ngolo, Joghihno, ajakutana na kiungo ya Liver, kuna iyo ya manure achana na iyo ya Man city kuna iyo ya spurs na madogo flan if wa Everton na mbeha wenye njaa kali Wolverhampton hahaha hii timu ya arsenal ni vichekesho kweli kweli. Halafu munaona mumesajili na ela zenu za kulipa kwa mafungu
 
coutinho anaenda kucheza wapi?! arsenal kuna iwobi,nelson,Auba na mikki...alafu msharaha wake ni mkubwa sana.....vipi hapo aroon?
Mshahara wake ni makubaliano tu ,either walipe wote wawili au anayemmilik mchezaji, halafu swala la namba lisikupe shida ,atacheza tu, halafu sasa hiv kuna watu wanaondoka ,
 
Goal | Arsenal are open to offers for Shkodran Mustafi, while Laurent Koscielny is expected to leave for Bordeaux - with the two clubs currently in talks about a deal. #afc
 
Drogba ilikuwa ni utoto unamsumbua alivyokaa Chelsea msimu mmoja akagundua kuwa timu ya kukuzia jina sio nyingine ni Arsenal. Siku aliyoondoka Chelsea fan boys wa AssAnal mulifurahi kuliko pita maelezo...
Kwa hiyo Drogba kusema anaipenda Arsenal kwako umetafsiri ni utoto,ila pepe kwa chelsea umeona si utoto!!

Grow up,mzee, come into the reality ushabiki wa kimahaba mbaya sana

we pepe kuja Arsenal umeumia kweli yani, na ndio kashakuja arsenal now, anavaa jezi nmb 19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…