Uongo mbaya hii timu ya Partizan kiwango chao ni kidogo hata kama wametubana!
Well done the gunners. Nadhani tumequalify hata km mechi bado!
pale nyuma kwetu bado kazi hipo.
Asante wakuu kwa updates...wengine saizi net inasuasua, hope soon itatengamaa...tupo pamoja wakuu wote wa gunners na wale wote watimu zingine....
Ba'Mkubwa ulipoteaa, uko salama? Eniwei, naona Arsenal inasua sua ila leo si haba, Man U hoi..lol:becky:
Ba'Mkubwa ulipoteaa, uko salama? Eniwei, naona Arsenal inasua sua ila leo si haba, Man U hoi..lol:becky:
The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
Haupo peke yako...
Leta issue tuongee!Ahaa Wewe Mashabiki Wa Arsenal Tupo Wa Kumwaga 2 Si Unaona Jinsi Chelsea Alivyopelekwa Mperampera?
Abedayor Bado Kijana Mdogo Anayo Nafasi Ya Kujifunza Toka Kwa Wakongwe Kama Mtu Mzima Henry Na Van Persie Kwa Hiyo Tumpe 2 NafasiHongera kwa jana, nami ni arsenal, Wigan 0- 1 Arsenal, inatia moyo.
Baadaye.Kumbe kuna chemba la Arsenal hapa. Haya nipo mazee.
Wewe Worm, acha kuongea lugha ya kiminyoominyoo kama Mourinho. Chelsea mko wapi sasa??waumini wa Chama la Arsenal tupo wengi DrWho.
...wenye wivu wajinyonge, mwanzo mpya...
tunataka makombe yetu yarudishwe kabatini!
...mnh, kimya kingi kina mshindo, "mresti in peace" huko mlipo enyi mashabiki waanzilishi wa jukwaa hili!
Historia haiongopi...Makombe yapi hayo? Watoto wamezaliwa, wameanza shule, Lé Arse bado wanakusanya vumbi kwenye makabati yao.Hahahaha! Wamekata tamaa, hawaoni makombe hapo Emirates, labda mrudi Highbury au Woolwich kabisa maana ninyi ni NOMADS
Chelsea Football Club ...Founded in 1905,...
The club had their first major success in 1955, when they won the league championship. Chelsea won several cup competitions during the 1960s and 1970s, but after that did not win another major title until 1997. The past decade has been the most successful period in Chelsea's history, capped by winning Premier League titles in 2005, 2006 and 2010, and reaching their first UEFA Champions League final in 2008.
Mbu kweli una fujo,ndo maana mimi napenda kulala ndani treated(insectcidal) bed net...! hahaa teh teh...Historia haiongopi...
Kutesa kwa zamu.