Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Wabobezi mnisaidie kuelewa. Budget ya Arsenal tuliambiwa ni €40m. Sasa wamesajili Saliba €27m, pepe kwa installment ya €20m kama kianzio, maltinell kwa €8m sasa tukipiga hesabu sitayari budget yetu imeisha? Sasa huu mwendelezo wa kusajiri utawezekana kweli, Au mimi kuna mambo nayaelewa tofauti?
Mpaka sasa ndio eneo linalohitaji quality, na Bodi imeliona hilo, tarajia Sajiri zote zinazokuja zitaegemea eneo hili