Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Pepe yupo London , na muda huu anafanyiwa medical
Mapicha picha kesho
Mapicha picha kesho
Hivi Henrikh Mikhtaryan na Iwobi nani ana uafadhali?Jorge Mendes managed to convince Manchester United and Sir Alex to sign Bebe, I think if we humble ourselves, he can help us get rid of Mustafi, Mkhitaryan, Jenkinson and Elneny this summer. He is that good.
Mikhy bado ana msaada lakin anatakiwa kuondoka ili lije ingizo jipya, maana umri unamtupa sasa, iwobi bado yupo sana ,Hivi Henrikh Mikhtaryan na Iwobi nani ana uafadhali?
Arsenal fans mmeona Mikhtaryan ni wa kuondoka kuliko Iwobi?
Kumuuza Mustafi kwa kiwango chake cha sasa itakuwa ngumu sana. Labda dau liwe chini ya £15. Tukubali kumuuza kwa hasara pamoja na Jekinson, Elneny, Iwobi tupate CB mzuri.MUSTAFI anatafutiwa klabu , katika harakati za Arsenal kuifumua defence,
Japo anagoma anahitaji apambane tena ,
Na wiki hii Beki wa pemben Celtic anaweza kutua londonView attachment 1166940
Ni kweli aisee lakin kuna klabu zinamuhitaji na arsenal inataka imuuze au imtoe mkopo apotelee huko hukoKumuuza Mustafi kwa kiwango chake cha sasa itakuwa ngumu sana. Labda dau liwe chini ya £15. Tukubali kumuuza kwa hasara pamoja na Jekinson, Elneny, Iwobi tupate CB mzuri.
??
??
??
??Rate this window:
Martinelli![]()
Ceballos![]()
Saliba![]()
Pépé![]()
Tierney ??
Umtiti??
Zaha??
Everton??