Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa wachezaji bana cjui vipi huwezi kurudia kosa. Hakuna anayeweza kupiga penalty kweli? Hii mechi ya pili sasa. Anyway sio muhimu sana kwa sababu wachezaji wengi wapo kwenye kiporo.
 
Kama ni wakati ule wa watoto wa sadam hussein hawa madogo wangechapwa viboko leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…