Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,310
Sasa kama Germio ambao wanamiliki 50% wanataka hiyo €35M huoni itahitajika si chini ya €70M kumpata huyo Everton?Kwa mujibu wa emery alisema kuna mchezaji mmoja wa gharama tutamnunua,
Ukiangalia Target namba 1 ya Arsenal ni Zaha ,
Everton ni plan B ,
Na taarifa kutoka Brazil zinasema Anasheshughulikia hilo swala ni Edu, so kwanini useme tutashindwa kutoa hiyo hela japo Bei yake haiwekwi wazi sana maana anamilikiwa na Pande 3 , ambapo Gremio wanahitaji €35m , na ndio wanamiliki kwa 50%,
Arsenal wanajiandaa kupeleka 55+one player for loan kwa palace , So ikishindikana basi tegemea Plan B ambaye ni Everton .
Tusubiri tuone
benjamin pavard,john stones,holdingsSasa kama Germio ambao wanamiliki 50% wanataka hiyo €35M huoni itahitajika si chini ya €70M kumpata huyo Everton?
Hii inshu bado tete sana.
Pia defense yetu bado ni mbovu, msimu uliopita tulifungwa magoli mengi ya uzembe wa hali ya juu. Tunatakiwa kupata CB mzuri aliye kiongozi ili kutuliza ukuta. Hawa defender wa miaka 18 wengi bado hawaja-mature(ondoa ref.ya de light).
Kwa mujibu wa emery alisema kuna mchezaji mmoja wa gharama tutamnunua,
Ukiangalia Target namba 1 ya Arsenal ni Zaha ,
Everton ni plan B ,
Na taarifa kutoka Brazil zinasema Anasheshughulikia hilo swala ni Edu, so kwanini useme tutashindwa kutoa hiyo hela japo Bei yake haiwekwi wazi sana maana anamilikiwa na Pande 3 , ambapo Gremio wanahitaji €35m , na ndio wanamiliki kwa 50%,
Arsenal wanajiandaa kupeleka 55+one player for loan kwa palace , So ikishindikana basi tegemea Plan B ambaye ni Everton .
Tusubiri tuone
Upo sahihi ndugu yangu ,tuna beki mbovu , lakin tutaletaje CB kama 3 bila kuondoa waliopo?Aroon tunabeki mbovu mbovu kabisa, kwanini hatuweki mkazo kwenye beki tunahangaika sana na huyo Zaha na Evaton??!! Tunajua hatuna beki na tunahitaji beki lakini tuko busy na Zaha!?!!
Safi sanaCeballos has already signed for Arsenal, and the deal will be made official at any time soon. Unai Emery's intervention was decisive for the player decide to sign for the Arsenal
Oficial: Ceballos ya es del Arsenal
El club inglés y el jugador han firmado la cesión por una temporada. Unai Emery, decisivo para que se incorpore a los gunners Fue clave, me conoce de mi paso por otros clubes .t.co
Sokratis on centre-back options:Aroon tunabeki mbovu mbovu kabisa, kwanini hatuweki mkazo kwenye beki tunahangaika sana na huyo Zaha na Evaton??!! Tunajua hatuna beki na tunahitaji beki lakini tuko busy na Zaha!?!!