Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720



yani shaka kuwa CB au cahill mbona arsenal hatupo serious tatizo ni pesa au dharauArsenal itasajili wachezaji inaowahitaji.
Hivyo Saliba na Ceballos usajili umekamilika.
Everton huenda nae akasajiliwa na Tierney zitaongezwa pesa kwa sababu ya usajili mkopo wa Ceballos.
Hivyo imebakia kuamua iwe Zaha au Everton au wote wawili.
Lakini Boss nae ameharibu utaratibu mzima wa kumpata CB.
Arsenal inaweza kumsajili Gary Cahill ambae ni free agent kwa "cover" ya mpaka January.
Pia wanaangalia kumtumia Granit Xhaka kama CB ikibidi kwa msimu ujao mpaka January.
Halafu, Arsenal inajiandaa kumtangaza Granit xhaka kama nahodha mpya.
Hapana aisee kwa sasa hatuwez na hatuhusishwi na huyo bench warmer , Ila Arsenal wanaangalia situation ya Kosenly ,hivo akisepa ataletwa CB ,but sio cahilyani shaka kuwa CB au cahill mbona arsenal hatupo serious tatizo ni pesa au dharau
Umekosea njia nn?
Nilikosea kuupload nikaupload picha ambayo sioUmekosea njia nn?
Man City: £644.4m
Man Utd: £553.4m
Barcelona: £407m
PSG: £375.1m
Juventus: £268.7m
Arsenal: £260.5m
Real Madrid: £190.2m
Liverpool: £161.7m
Bayern Munich: £155.1m
Chelsea: £138.1m https://t.co/nRUpayaoJO
Sky Sport: Arsenal expected to push again for Zaha in the coming days. Zaha is Unai Emery’s no 1 target this summer.Wilfred zaha to Arsenal??
![]()
TRANSFER RUMOR: WILFRED ZAHA TOLD CRYSTAL PALACE HE WANTS TO LEAVE
kangaroodds.blogspot.com
Zaha is going to leave #CrystalPalace this summer. Arsenal, Dortmund and Tottenham are amongst those with serious interest in the 26-year-old. #AFC may need to win the #EuropaLeague to get #CL football for Zaha to be interested in a move to The Emirates, but Zaha is an #AFC fan.Wilfred zaha to Arsenal??
![]()
TRANSFER RUMOR: WILFRED ZAHA TOLD CRYSTAL PALACE HE WANTS TO LEAVE
kangaroodds.blogspot.com