Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wilfried Zaha has told Crystal Palace that he wants to leave the club when he returns from the African Cup of Nations, according to Sky sources.
Screenshot_2019-07-18-19-41-14.jpeg
 
Not saying this because he just followed me, but Aubameyang was definitely my MOTM tonight!

Showed how dangerous he was on the wings and was all over that first Arsenal goal. Big reason why we beat Bayern for me!
IMG_20190718_194613.jpeg
 
Zaha atakuja ikumbuka hii ofa

Kama anavyoikumbuka
Thomas Lemar


Nlichokiona mm, yule Everton anaweza kucheza kama Sanchez yaani Assist, kuscore, dribbleling, pia kuimpact the game
 
Zaha atakuja ikumbuka hii ofa

Kama anavyoikumbuka
Thomas Lemar


Nlichokiona mm, yule Everton anaweza kucheza kama Sanchez yaani Assist, kuscore, dribbleling, pia kuimpact the game

Wenye timu Stan Kroenke na mwanae Josh tayari wamekubali Arsenal iingie "deep" kidogo kwenye "cash reserve" kuchota kiasi cha kumlipia Zaha na salio kuwa kama standby.

Mazungumzo yalofanyika yalikuwa ni mazito na mipango ya Unai Emery yote iliwekwa mezani.

Ndo maana Josh katika taarifa yake kujibu hoja za wana Gunners amesema wanasuka timu "capable" kuingia kwenye champions league mwakani na pia kushinda Europa League msimu huu.

Saliba kutangazwa mchezaji wa Arsenal mara wataporudi kutoka kwenye ziara ya LA ambayo lengo lake kuu lilikuwa ni kuzungumza na wenye timu.

Hivyo basi, Saliba na Everton kwa pamoja watagharimu kiasi cha pauni milioni 55.

Dani Ceballos ambae Real Madrid walimsajili kwa pauni milioni 16 mwaka 2017, atagharimu Arsenal kiasi cha pauni milioni 50 kwa mkopo na Arsenal watakuwa wakimlipa mshahara badala ya Real Madrid.

Tukumbuke Ceballos ndie anakuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey hivyo atakuwa kwenye first X1.

Stay Tuned.
 
Nimemchek everton nadhani ni mzuri zaidi ya zaha! Kama ligi ikimkubali, namuona kama sanchez mpya na nadhani bado kuna vitu anavyo hayupo kwenye peak yake, ila nina wasiwasi wa zaha akawa hapa yupo kwenye kilele chake zaidi, na kwangu zaha kuna mapungufu fulani anayo, labda kama unai atafanyia kazi.
 
ADIDAS mwaka huu , haya waliofanya ni matusi , wametoa vitu vikali sana

Uzi bora wa away dunia nzima ......
IMG_20190716_203537.jpeg
 
ZAHA LENGO LAKE NI KUFUTA ILE KAULI KUWA YEYE NI WATIMU NDOGO

According to @SkyKaveh, #Arsenal is Zaha's personal preference but even if he doesn’t move there, it won't stop him wanting to play on the biggest stages. He wants to prove to himself that he can be the biggest player at a big club.
 
Nimemchek everton nadhani ni mzuri zaidi ya zaha! Kama ligi ikimkubali, namuona kama sanchez mpya na nadhani bado kuna vitu anavyo hayupo kwenye peak yake, ila nina wasiwasi wa zaha akawa hapa yupo kwenye kilele chake zaidi, na kwangu zaha kuna mapungufu fulani anayo, labda kama unai atafanyia kazi.

Zaha ni immediate solution.

Everton ni Long term solution.

Wakiwa wote Everton atakuwa akishambulia upande wa kulia na Zaha kushoto.
 
Zaha ni immediate solution.

Everton ni Long term solution.

Wakiwa wote Everton atakuwa akishambulia upande wa kulia na Zaha kushoto.
Na huu ndio ukweli ,ndio maana Emery anamuhitaji zaha ,

Zaha anasema anahitaji kuwa prove watu ,

Ila Everton nimemuangalia ni Copy kabisa ya Sanchez, ila bado hajafika kabisa peak yake,
 
Zaha ni immediate solution.

Everton ni Long term solution.

Wakiwa wote Everton atakuwa akishambulia upande wa kulia na Zaha kushoto.
Kuwapata wote kwa pamoja sidhani kama ni rahisi kiasi hicho, ila tungewapata ingekuwa safi!!

Kwangu napendelea zaidi Everton
 
Na huu ndio ukweli ,ndio maana Emery anamuhitaji zaha ,

Zaha anasema anahitaji kuwa prove watu ,

Ila Everton nimemuangalia ni Copy kabisa ya Sanchez, ila bado hajafika kabisa peak yake,
Na akifanikiwa kufikia atakuwa moja kati ya wachezaji hodari kabisa!! Ni mfungaji mzuri, ana skills, ana jicho la pasi!! Tofauti kidogo na zaha.
 
Hatumtaki tena ,mashabik tunamuhitaji Everton!

Ila wazee trust me hatakama Dogo akitua Atakaa msimu mmoja tu..Wabrazil wanaamini huyu ndiye mchezaji ambye hana muda mrefu anakua neymar wapili! Kwahiyo Barca na Madrid watakua wanamzoom.

Japo mashabik tumegawanyika, View attachment 1156788
Wabrazili wanakimbia uingereza kwa mambo mawili

kwanza hali ya hewa japo hii huwa si sababu kubwa saana

Pili wanataka timu bora!! Na ndio maana huwa wanakimbilia spain kwa madrid na barca!! Zamani ac milan na intermilan walikuwa wanawabeba mnooo.

To keep best players, unahitaji kuwa na timu bora, mikakati mizuri yenye kueleweka.
 
According to @mohamedbouhafsi, #Arsenal & Saint-Etienne have reached an agreement for €29m for Saliba. Saliba's desire to join #Arsenal resulted in them accepting a smaller fee than they initially wanted. The player will sign a 5-year-contract & will be loaned back to #ASSE
Screenshot_2019-07-18-22-42-10.jpeg
 
NOW Saliba say ,Spurz are Shit

William Saliba to Arsenal, here we go! It’s the final decision by the player, he’s going to sign for 5 years. Just confirmed by Arsenal, always been confident about this deal #AFC #Arsenal #transfers
Screenshot_2019-07-18-22-48-01.jpeg
 
Saliba to Arsenal done

€29m

5 year deal

He told Spurs to Fck off

Build him a statue already
Screenshot_2019-07-18-22-50-21.jpeg
 
Back
Top Bottom