Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bas mkuu mambo ya arsenal huyafahamu, maana arsenal unaposema timu nzima mbovu ni uongo, na ndio maana nilikushauri ukahangaike na maswala ya usajir ya Liverpool kuongeza depth ,

Unasema Arsenal mchezaji mzur ni Auba wakati si kweli , Auba bila laca hatembei, halafu arsenal hiyo hiyo unayosema mbovu nzima , ilipotea mwisho katika mech 3 kati ya 38 ili tu imalize nafas ya 3.

Matatizo yaliyotokea ndio hayo Timu inahangaika kuyafanyia kazi ,

Matatizo hayo ni CB , CM , LW &RW

ambapo Emery Jana amesema Kuna maingizo katika ya wachezaji 2-4

Ambapo amesema Wanatafuta mchezaji mmoja wa gharama ambaye itakuwa ni LW, then maingizo mengine yatafata.
Ambapo LW ni Zaha, Everton au Malcon au Pepe

RW amepandishwa Nelson ,Micky au Auba

CM anatafutwa either Ceballos au lemina

CB inategemea mpaka auzwe mmoja wapo waliopo sasa ,huku akisubiriwa holding alone

LB Tierney if possible klabu itaachana nae ,maana anahitajika for the future

Hivo sijajua unabwabwaja hapa wakati Liverpool mnataka EPL hamjasajiri ,je Fatigue ikiwakamata msimu unaokuja ? Je unajua CB wako vvd akiumia tu ,timu ita struggle sana wakati city anachanja mbuga .
Mkuu kauli ya kusema Arsenal timu mbovu ninayeongea ni mimi tu au wapo wengi kati yao hadi makocha waliokuwa magwiji?

Ushahidi wa kuwa Arsenal timu yote ni mbovu ni fainali ya Europa 2019 mliyopigwa 4-1 na kumpa Sarri kombe lake la kwanza tangia aanze Ukocha wa mpira

Ile fainali pekee inatosha kama kiwakilishi cha uhalisia wa Arsenal, Arsenal ni timu mbovu kuliko zote pale Big 6

Msimu wa 2017-2018 chini ya wenger Guardiola aliwachabanga 3-1 3-0 3-0

Msimu huu Guardiola amewachabanga 2-0 3-0 nje ndani cha aibu zaidi nje ndani hamjapata hata japo goli moja la kufutia machozi tena chini ya kocha mpya

Arsenal timu mbovu kabisa mpaka kuna watu wameiita Arsenal a 'Joke'
 
Sijaja kujifariji mkuu , Liverpool ni timu ambayo mashabiki wake hususani Wa huko huko Uingereza ndio wameihujumu mpaka imefika hapo ilipo kwa kutanguliza harakati za Uzawa kuliko chochote na nimeshasemaga kabisa makombe yanayofuatia ya EPL YAPO MIKONONI MWA PEP GUARDIOLA

Madhaifu ya Klopp tunayajua hawezi kuwa level moja na Guardiola, sijatabiriaga LFC ubingwa kabisa

LFC hata asipo sajili bado yuko na timu nzuri kuliko nyinyi, huo ni ukweli

Wewe una timu nzuri ndio maana umesajiri sijui hujasajiri ,unachosahau , ni man city pekee mwenye depth ya kueleweka , na mwenye uwezo wakuendelea na moto ule ule wa msimu ujao, wewe top 4 una uhakika ila bila depth hakuna ajuaye kama utaweza kufukuzana na city ambaye jeshi lake limekamilika.

Hivo nakushangaa kuja kujifariji huku kwenye usajiri wa Arsenal ,

Matatizo ya Arsenal sisi tunayajua ,na Ndio maana juzi mashabiki tumeuwasha moto kuhusu bodi ,
 
Bas mkuu mambo ya arsenal huyafahamu, maana arsenal unaposema timu nzima mbovu ni uongo, na ndio maana nilikushauri ukahangaike na maswala ya usajir ya Liverpool kuongeza depth ,

Unasema Arsenal mchezaji mzur ni Auba wakati si kweli , Auba bila laca hatembei, halafu arsenal hiyo hiyo unayosema mbovu nzima , ilipotea mwisho katika mech 3 kati ya 38 ili tu imalize nafas ya 3.

Matatizo yaliyotokea ndio hayo Timu inahangaika kuyafanyia kazi ,

Matatizo hayo ni CB , CM , LW &RW

ambapo Emery Jana amesema Kuna maingizo katika ya wachezaji 2-4

Ambapo amesema Wanatafuta mchezaji mmoja wa gharama ambaye itakuwa ni LW, then maingizo mengine yatafata.
Ambapo LW ni Zaha, Everton au Malcon au Pepe

RW amepandishwa Nelson ,Micky au Auba

CM anatafutwa either Ceballos au lemina

CB inategemea mpaka auzwe mmoja wapo waliopo sasa ,huku akisubiriwa holding alone

LB Tierney if possible klabu itaachana nae ,maana anahitajika for the future

Hivo sijajua unabwabwaja hapa wakati Liverpool mnataka EPL hamjasajiri ,je Fatigue ikiwakamata msimu unaokuja ? Je unajua CB wako vvd akiumia tu ,timu ita struggle sana wakati city anachanja mbuga .
Halafu mi nilikuwa nimecomment tu habari
 
Saliba is on his way to Arsenal. While the original bid was just over 30 million euros, the British have greatly improved their proposal against the competition of their rival Tottenham. According to our information, Saliba will be exchanged for 33 million euros plus 7m bonuses.
kwaiyo aroon, Celtics hawata mshikilia kwa mkopo msimu mzima, atakuja direct arsenal badaa ya malipo?!
 
Sijaja kujifariji mkuu , Liverpool ni timu ambayo mashabiki wake hususani Wa huko huko Uingereza ndio wameihujumu mpaka imefika hapo ilipo kwa kutanguliza harakati za Uzawa kuliko chochote na nimeshasemaga kabisa makombe yanayofuatia ya EPL YAPO MIKONONI MWA PEP GUARDIOLA

Madhaifu ya Klopp tunayajua hawezi kuwa level moja na Guardiola, sijatabiriaga LFC ubingwa kabisa

LFC hata asipo sajili bado yuko na timu nzuri kuliko nyinyi, huo ni ukweli
Huwez kuijaji Arsenal ni mbovu kwa mech hiyo ya fainal ,
 
Lets say we get Zaha/Everton, Tierney and Ceballos for this season: Laca as SS

Leno

Tierney Sokratis Holding Bellerin

Torriera Ceballos

Nelson/Iwobi Zaha/Everton

Lacazette

Auba
 
Barcelona paid around €40m for Malcom a year ago. In the last year, he has played 15 league games and scored one goal, but somehow they believe his value has risen by 50%...
 
OFA YA 3 NA YA MWISHO

- Arsenal have submitted a 3rd bid for Kieran Tierney. £20M up front with £5M in add ons. Previous bid was £18M + £7M in add ons. Bid will be accepted. Scottish press should confirm this bid tonight. #AFC #Arsenal
 
KUNA mtu humu juzi alinitolea povu baada ya kumueleza kuwa Sio lazima mchezaji achague timu inayocheza UCL linapokuja swala la timu mbili zinamgombania na nyingine isiwe inacheza UCL, alinitolea povu,

Nilimweleza Kuna term nyingi ,ikiwepo bonuses ,n.k

Arsenal alikuwa anagombania wachezaji hawa na Tottenham aliye UCL ,lakin mwisho wa siku

Wachezaji wenyewe wameikataa Tottenham na kukubal kuelekea Arsenal,

Swala lililobak ni Arsenal kumalizia hizi deal

KUTOKA KWA MWANAHABARI WA ARSENAL NDANI YA BBC. David Ornstein , anaripoti now

Arsenal set to win race to sign William Saliba. Close to completion after Saint Etienne centre-back opted for #AFC. Loan back to #ASSE next season. Also working on loan for Real Madrid midfielder Dani Ceballos & continue pursuit of Celtic left-back Kieran Tierney #RMFC #CelticFC
Screenshot_2019-07-17-19-23-12.jpeg
 
William Saliba chose Arsenal over Spurs - he will loaned back this season

Arsenal working on deals for Cabellos on loan and the permanent transfer of Kieran Tierney

[@bbcsport_david]
 
Arsenal itasajili wachezaji inaowahitaji.

Hivyo Saliba na Ceballos usajili umekamilika.

Everton huenda nae akasajiliwa na Tierney zitaongezwa pesa kwa sababu ya usajili mkopo wa Ceballos.

Hivyo imebakia kuamua iwe Zaha au Everton au wote wawili.

Lakini Boss nae ameharibu utaratibu mzima wa kumpata CB.

Arsenal inaweza kumsajili Gary Cahill ambae ni free agent kwa "cover" ya mpaka January.

Pia wanaangalia kumtumia Granit Xhaka kama CB ikibidi kwa msimu ujao mpaka January.

Halafu, Arsenal inajiandaa kumtangaza Granit xhaka kama nahodha mpya.
 
Gary cahil? Kwa beki yetu Arsenal haiwez kumsajir huyo jamaa,

Tetes zilizopo wanamfatilia dogo mmoja msenegal , Abu cise ,

CB muhimu sana ili atakaporud Holding bas isiwe tatizo,

Mustafi ameshindwa kulink vzr na sokratis wala kosenly ,
 
Kaveh Solhekol (Sky):

“I think the one signing that would really, really excite Arsenal supporters is Everton. This guy, he’s the real deal. Man of the match in the Copa America final. He would cost around £36m from Gremio. People are talking about him as the new Neymar.”
 
Kocha wa Gremio Renato Gaucho akihojiwa na Globosport Leo we are losing Everton , Î dont know if Will leave or not it has À great chance its Matter of time right but Probably Leave Now
 
Arsenal itasajili wachezaji inaowahitaji.

Hivyo Saliba na Ceballos usajili umekamilika.

Everton huenda nae akasajiliwa na Tierney zitaongezwa pesa kwa sababu ya usajili mkopo wa Ceballos.

Hivyo imebakia kuamua iwe Zaha au Everton au wote wawili.

Lakini Boss nae ameharibu utaratibu mzima wa kumpata CB.

Arsenal inaweza kumsajili Gary Cahill ambae ni free agent kwa "cover" ya mpaka January.

Pia wanaangalia kumtumia Granit Xhaka kama CB ikibidi kwa msimu ujao mpaka January.

Halafu, Arsenal inajiandaa kumtangaza Granit xhaka kama nahodha mpya.
Kama kweli ,maneno Aliyoongea Jana Emery yatatimia basi kuna asilimia 80 kikosi cha next season kikawa hiki ,japo Bellelin na holding watazikosa mech za mwanzo

Pia Iwapo main target LW zaha tukiachana nae ,bas atakuwa ni Everton ,

IMG-20190717-WA0013.jpeg
 
Arsenal itasajili wachezaji inaowahitaji.

Hivyo Saliba na Ceballos usajili umekamilika.

Everton huenda nae akasajiliwa na Tierney zitaongezwa pesa kwa sababu ya usajili mkopo wa Ceballos.

Hivyo imebakia kuamua iwe Zaha au Everton au wote wawili.

Lakini Boss nae ameharibu utaratibu mzima wa kumpata CB.

Arsenal inaweza kumsajili Gary Cahill ambae ni free agent kwa "cover" ya mpaka January.

Pia wanaangalia kumtumia Granit Xhaka kama CB ikibidi kwa msimu ujao mpaka January.

Halafu, Arsenal inajiandaa kumtangaza Granit xhaka kama nahodha mpya.
Wabrazil wanasema jamaa anasepa
Screenshot_2019-07-17-23-17-38.jpeg
 
Back
Top Bottom