Wanajifanfanya wana timu ya maana wao msimu huu, time will tell, Alileta juzi porojo ohoo hao wachezaji hawez kwenda Arsenal kucheza Europa, nikampa darasa , kinachoendelea sasa, Saliba ,cebbalos , wote wameikataa Tottenham na kukubali matakwa ya Arsenal,