Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
SKY SPORTS | Arsenal have made an improved bid of £25m for Celtic Left Back Kieran Tierney.
This is expected to be accepted by the Scottish club and will be the most expensive transfer in Scottish football history!View attachment 1153044
Yap , ulisema kweli , na hiyo hela ndio Celtic walihitaji,Nilisema Arsenal watarudi na dau kubwa na hii 25M yatosha kabisa kuwazingua Celtic na mazungumzo ya kukamilisha usajili yatafanyika.
Kumbuka Tierney tayari amekubali personal terms na Celtic walikuwa wanafahamu Arsenal watarudi na improved bid.
Halafu, viongozi wa Arsenal wako LA kwa mazungumzo na Stan Kroenke na mwanae Josh ili kuomba aruhusu wa-splush pesa na baada ya kesho utaona usajili wa targets zote muhimu unafanyika.
Stay Tuned.
Huu ushamba wenu wa kupiga picha kabla ya kupanda ndege bado mnao tuGabriel Martinelli, Balogun, Thompson, Robbie Burton, Saka, Nelson all included in the traveling squad.View attachment 1151151
Hahahahahahahahahahahahahahahaha.....Mane + Salah + Firmino waliwaweka kamba 5
Messi + Suarez + Griezman wanaweza kuwaweka kamba 10
Endeleeni kucheza EUROPA LEAGUE tu ndugu zangu huku kwingine hakuwafai.
Hivi huyo Kreonke na mwanae hawajui arsenal inahitaji nini EPL na UCL mpaka waombwe waongeze hela ili club iwe ya ushindani?Nilisema Arsenal watarudi na dau kubwa na hii 25M yatosha kabisa kuwazingua Celtic na mazungumzo ya kukamilisha usajili yatafanyika.
Kumbuka Tierney tayari amekubali personal terms na Celtic walikuwa wanafahamu Arsenal watarudi na improved bid.
Halafu, viongozi wa Arsenal wako LA kwa mazungumzo na Stan Kroenke na mwanae Josh ili kuomba aruhusu wa-splush pesa na baada ya kesho utaona usajili wa targets zote muhimu unafanyika.
Stay Tuned.
Usipende kuropoka , kwan nyie kwa pepe mlikimbia?Wazee wa kuuliza Bid za wachezaji na kukimbia baada ya kuona maji marefu kwa Zaha mmekimbilia kwa Pepe hahahahahahahahah
Punguza umama wewe jamaaWazee wa kuuliza Bid za wachezaji na kukimbia baada ya kuona maji marefu kwa Zaha mmekimbilia kwa Pepe hahahahahahahahah
Imagine Arsenal with a £45 m budget while team like Aston villa are spending more than that.Usipende kuropoka , kwan nyie kwa pepe mlikimbia?
Arsenal inatafuta LW , kwa zaha imetumwa ofa , na hapo hapo arsenal INA option nyingine za Winger , Kama Everton ,malcon and Pepe
Mbona unateseka ,na usajiri wa Arsenal kwan tatizo nini, Mara ujichekeshe kama shoga , Mara hivi ,
Hiyo 45 uliambiwa na nani ,wakati Arsenal imetuma ofa Jana kwa pepe ya euro 80Imagine Arsenal with a £45 m budget while team like Aston villa are spending more than that.
Eti Manchester usajili wake ni uleule wa kuongeza waingereza tu sioni jipya .......Nyie msisajili waingereza mmewashinda Manchester United zaidi ya kubadilishana mtaa wa 5 na 6Naamini Arsenal itafanya vizuri ilishindwa kumaliza vizuri kwa udhaifu wa mabeki wa kati , kikosi ni kile kile cha muhimu bodi iongeze CB mmoja na AM mmoja ,RW yupo nelson, LW aletwe kati ya hao wanaotakiwa akija Zaha , Everton au pepe basi timu itakuwa imara.
Arsenal alikuwa na nafasi ya kumaliza nafasi ya 3 kabla mechi 5 kuisha maana Chelsea alikuwa wakawaida ,sasa wamefungiwa kusajiri ,no hazard .
Maana hata huyo Tottenham anayepewa nafas ya kupambana na Liverpool na man city alikuwa na form mbaya ugenini ,
Man united usajiri wake ni ule ule wa kuongeza waingereza tu sioni jipya kwake ,
Stay tuned
Eti Arsenal imetuma bid kwa ya €80 ml kwa PEPE wewe jamaa unakifaaHiyo 45 uliambiwa na nani ,wakati Arsenal imetuma ofa Jana kwa pepe ya euro 80
Mambo ya arsenal yatakushinda
Wewe jamaa na wasiwasi sana utakuwa shogaEti Arsenal imetuma bid kwa ya €80 ml kwa PEPE wewe jamaa unakifaa