Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nimezitoa LE EPIQUE mbona nimeweka na source,Mkuu AROON sijui taarifa zako unazitoaga wapi ila kwa kifupi Arsenal hawana mpango wa kumsajili Pepe
Taarifa zangu Nina vyanzo reliable , kama le EPIQUE , sio wababaishaji, kuna Kaveh na Darmaesh , hawa habari yoyote kabla haijarushwa sky sport inapitia mikonon mwao na soon utaikuta sky maana ni wafanyakaz wa hapo hapo sky ,Mkuu AROON sijui taarifa zako unazitoaga wapi ila kwa kifupi Arsenal hawana mpango wa kumsajili Pepe