Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,754
- 26,024
Nasikia kuna mpango wa kumuuza Auba ili ipatikane hela ya Zaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aubameyang is not for sale.
Nasikia kuna mpango wa kumuuza Auba ili ipatikane hela ya Zaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za uongo hizo, umezitoa wapi nduguHuu utani sijui unatoka wapi wa kutaka kumchukua Ndanda Kosovo (Bakayoko) toka Chelsea
Umesikia wapi, mbona auba yupo Arsenal na hauzwiNasikia kuna mpango wa kumuuza Auba ili ipatikane hela ya Zaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saliba to Arsenal done
Sasa tunaenda kwa Zaha na malcon mpaka kieleweke
Arsenal wameenda kwa gia ya mkopo , na option ya kumnunua baadae ,Barcelona wanataka 50M kwa Malcolm na Arsenal wamechomoa.
Aubameyang is not for sale.
Mbona za muda na zilishakufaTetesi