Vipi Ryan Fraser?Winger ambazo tunazihitaji na klabu inafanya mazungumzo ya serious ni hizi
ZAHA
VAZQUEZ
FEKIR
mmoja au wawili itakuwa vzr ktk kuimarisha kikosi,
Fekir anacheza kama winger pia namba 10 ,tatizo majeruhi mengi ,
Na prefer Zaha au Vazquez au wote wawili



The teams are in! Here’s how Arsenal XI line-up against @BOREHAM_WOODFC…