zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,906
- 36,830
Hamna ni strategy.... Tunaweza kuamua msimu huu ni beki tu... Msimu ujao midfield.... Ule msimu mwingine washambuliaji.....basi kazi imeisha msimu wa 4 baadae tunarudi UEFA na Ligi tunabeba.Mkuu tukoendelea hivi amini nakwambia UEFA tutacheza 2025/2026.
Huyu Aroon bado hajaonekana tu.?
Arsenal close to appointing former player Edu as technical director https://t.co/AnhklB1KbU via @MailSportView attachment 1131125
Kile kipigo siyo ya mchezo ukiongeza na zile tambo zake hawezi rudi leo
Nani kasema arsenal imekataa kusajili wachezaji wa maana kisa policy iliyopo? Refer offer ya Arsenal kwa Thomas lemar kipindi yupo Monaco(£92), dogo alikataa kuja arsenal pia arsenal wakagoma kumuuza sanchez kwenda city by that timeNdugu hiyo policy ya kukuza vipaji haipingiki, ila kukataa kununu wachezaji wa maana kisa policy hairuhusu ni upoyoyo, haya sasa tunaendelea kusota na futuhi then unategemea hao watoto watatutoa kirahisi hapo?? Unai atafukuzwa kisa hao watoto. Swala la kukuza vipaji ni la academy huku timu ya wakubwa ni kazi tu, hilo swala la kukuza na kuuza, so far limetufikisha wapi? Tubadili policy tukuze vipaji na tununue wanaojua. Swala la hawapatikani kirahisi halihusiki, sio kila mshambuliaji lazima awe kama Messi ndo maana tuna kina Auba.
Aisee.Usajili News Updates:
1. Arsenal wameachana na Joachim Andersen wa Samprodia na huenda akaenda Tottenham. Arsenal wanataka kukazania dili la William Saliba.
2. Carl Jenkinson anakwenda West Brom Albion.
3. Kieran Tierney wa Celtic bado yupo kwenye orodha ya mabeki wa kushoto wanaohitajika.
4. David Ospina amehamia moja kwa moja Napoli ya Italy.
5. Mazungumzo bado yanaendelea kati ya Arsenal na Saint Etienne ya kumsajili William Saliba, lakini Arsenal hawako tayari kulipa pauni milioni 30 kama ada ya uhamisho.
6. Alexis Claude-Maurice amebadili mawazo na anataka kwenda Ujerumani.
7. Dogo mwingine Eddie Nketia anakwenda Charlton timu ya daraja la kwanza kwa mkopo.
8. Majina ya washambuliaji wa pembeni Wilfried Zaha na Ryan Fraser ndo yanazungumzwa kwa sasa lakini Fraser ndie amepewa kipaumbele.
9. Edu karibu anarejea Arsenal mara baada ya Copa America kuwa mkurugenzi wa mpira.
na mwisho Petr Cech ametangazwa rasmi kuhamia Chelsea kuwa mkurugenzi wa mpira wa timu hiyo, honger zake.
Tuzidi kusubiri kupeana more updates maana suala la usajili wa Arsenal safari hii ni gumu kidogo, tuwe wavumilivu.
Kasoro Messi.Usajili wa msimu huu kiboko, kila mchezaji tunahusishwa nae.
Eddie nketiah huyu mtoto apewe nafas namuelewa sana ,Usajili News Updates: