Nelson namkubali sana mpira ulimkubali bundasligaTakuma Asano will return to #AFC next season. @Hannover96 announced.
Klabu ya Hannover96 wametangaza kuwa mchezaji wa arsenal ambaye yupo kwa mkopo kwao Asano takuma atarudi arsenal
Wachezaji wengine ambao watarudi ni pamoja na Bielik na Nelson ambao tayari wameshathibitishwa
Wakaze tu tunyenyue kwapaWachezaji wa Arsenal wameahidiwa bonuses £10m kama Arsenal itabeba Europa league sijajua ni kwa mwaka au kivipi au wanagawana maana hyo £10m ni hela ndefu mno.
Kila mchezaji atapewa £500K baada ya gemu..
Arsenal confirm Henrikh Mkhitaryan will miss Europa League final in Baku over visa issuesView attachment 1103675
UmeonaeeDah huyu mtu anatusaidiaga muda mwingine,
Yan km kuna kitu inahitaji tuombe ni hili jmn...Mungu saidia kwa hiliiiHearing deals for Hakim Ziyech and William Saliba are close to completion. Hakim is pushing for the deal. Fee for him will be £32M+ add ons. In addition, Saliba to cost £15M. Follow for more updates. #Arsenal #AFC
Njoo pm nipe namba yakoPia km kuna group la whatsApp la arsenal naomba niunganishwee