Mkuu nakumbuka kuna kipindi Mustafi akiwepo tulikuwa hatupotezi mechi. Alikua akipata injury paka nawaza nani ataziba pengo lake, aliwahi kucheza game kama 22 hivi unbeaten duuh,ila sasa hivi acha aende tu.Usajili umefunguliwa rasmi jana usiku. Wazee wa tetesi tumeanza na Walter Kanneman ambapo taarifa zinasema arsenal tumetuma rasmi ombi la kumsajili beki huyo wa kati wa kimataifa Argentina anayekipiga ktk klabu ya Gremio
Arsenal imekuwa ikimfuatilia Kannerman kwa muda mrefu sasa
Halaf ni left foot
Kanemman ni mzee wa viatu na Anakaba kwa nguvu ngoja tuone dili litaendaje
Hapa naziona taa nyekundu zikimuwakia Mustafi.
HV jamaa anakwama wapi mbn kwangu namuona ni beki aliyekamilika ukimchek kwa haraka???
Mfn ana nguvu,ana mbio,anajua kutembea na MTU na akamvuluga asifanikishe lengo n.k ambazo NADHANI ni sifa za beki no4 yeyote!
Nlikuw namwelewa Mustafi sana ila ameniangusha kwa kiwango cha lami.
Ac Milan wanamuhitaji, aende hata kwa £15mMkuu nakumbuka kuna kipindi Mustafi akiwepo tulikuwa hatupotezi mechi. Alikua akipata injury paka nawaza nani ataziba pengo lake, aliwahi kucheza game kama 22 hivi unbeaten duuh,ila sasa hivi acha aende tu.
Arsenal x Adidas kit deal will officially start from July 2019... 25 years on from when they last wore the famous three stripes!
New deal will bring £60m a season for five years and returning back to Adidas since 1994.
Which is your preferred option 🇦 🇧 🇨 or 🇩? View attachment 1101205
Mkuu una hamu sana hawa jamaa niniWakuu kwema humu. Naona tar 29 mbali mno.
A imetulia sanaArsenal x Adidas kit deal will officially start from July 2019... 25 years on from when they last wore the famous three stripes!
New deal will bring £60m a season for five years and returning back to Adidas since 1994.
Which is your preferred option 🇦 🇧 🇨 or 🇩? View attachment 1101205
Mkuu una hamu sana hawa jamaa nini
Ipo mbali aisee hadi hamu inakata ,Wakuu kwema humu. Naona tar 29 mbali mno.
Leo nimeona benchi lake, Pep yupo mbali mno.. Na bado anataka kusajili.Pep anatuma ujumbe kuwa timu nyingine zifanye usajiri vinginevyo ataendelea kutupiga anavyotaka
Christian Bielek ni mchezaji wa Arsenal aliyecheza kwa mkopo chalton msimu huu unaoisha..nmemfatilia kwa karibu ameonyesha kiwango kikubwa sana akiwa na chalton alicheza kama beki wa kati na pia kama kiungo mkabaji...the way alivyoimprove ningependa kuona kocha anampa nafasi this pre-season nina uhakika kocha atakubali kazi ya huyo dogo..
Dogo amerudisha ile confidence yake ya zamani..alipokuja Arsenal..hadi wenger alikuwa anamkubali na wenger alitegemea huyu dogo atoboe haraka kwenye timu ya wakubwa lakn bahati mbaya akaja kuumia goti akakaa nje msimu mzima lakn tangu apelekwe mkopo aisee duuuh kaupiga hatari..
Huyu jamaa sijui kama atapata mshindani, yupo 100+ miles away.Pep anatuma ujumbe kuwa timu nyingine zifanye usajiri vinginevyo ataendelea kutupiga anavyotaka
Acha wafu mzikane wenyewe,msimu ujao wewe na swaiba wako ManU,mtaendelea kubaki hukohuko futui hamchomoki ng'o!Sipati picha watakavyokuwa wanashangilia kwa nguvu kuuubwa kuliko hata the gunners wenyewe
Sidhani kama arsenal yetu itaweza pale kwa ubahili wa boss.Arsenal are going to prepare a bid for Zaha. This will be the first of many for Zaha. The question will be what will Crystal Palace accept.
Palace wajinga ,waataka hela kubwa, halafu zaha mwenyewe anafos kusepa,,sasa arsenal wamesema watapeleka £30m-£40mSidhani kama arsenal yetu itaweza pale kwa ubahili wa boss.
Jamaa namuelewa sana akitua arsenal itakuwa goodPalace wajinga ,waataka hela kubwa, halafu zaha mwenyewe anafos kusepa,,sasa arsenal wamesema watapeleka £30m-£40m
Basi,