Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siamini timu yangu Arsenal dah kumbe userious unawezekanika
Mkuu ukishaona arsenal ameingia na mfumo wa beki 4 ,hiyo mech huwa ni ngumu,

Wala usihangaike kuiangalia_,ila ukiona ni 3-4-3 ,tambua hatoki MTU,kwakuwa timu huwa inabalance ,

Na mechi zote tulizocheza 3-4-3 tumeshinda bila wasiwasi kasoro mechi 1 tu, dhidi ya c palace kutokana na ujinga WA mustafi

Ndio maana Leo mapema nilisema kwa wanaobeti waweke hela haraka sana kwani muhind kajichanganya kaipa arsenal ODD ya 3 ,hadi lineup inatoka ,

Tukicheza 4-4-2,4-3-3,4-2-3-1. ..timu inapwaya maana hatuna winger asilia za kushoto na kulia,,pia hatuna partnership nzuri ya beki za kati,

Ila tunapocheza mfumo WA beki 3, inafanya timu ibalance , coz tukishambuliwa tunakuwa na beki watano , tukishambulia tunakuwa na washambuliaji wanne,

Huu mfumo Wenger aliwachapa Chelsea Mara mbili Wembley , Wenger aliukopi kwa Conte ,

Sasa Emery anajua kabisa huu mfumo kwa wachezaji aliowakuta arsenal ndio unawafiti, ila tukashangaa mwishoni mwa ligi anabadilisha, Mara mech za away anaanza na mshambuliaji mmoja , ila Europa anacheza huo huo.
 
Magoli 7 ya mwisho ya Arsenal ya Europa League yamepatikana kama ifuatavyo:
.
️ Aubameyang
️ Lacazette
️ Aubameyang
️ Aubameyang
️ Lacazette
️ Lacazette
️ Lacazette

What a duo.
IMG-20190503-WA0006.jpeg
 
Uyo kanisumbua mimi ..sasa kikosi chako kibovu ungechezea cha kutosha..
Mkuu unatamba lkn subir tutakachowafanya fainal , nadhan unakumbuka darajan tulikukosa sana, emirate ukafa mapema,

Subir BAKU ,naiman vijana hawataniangusha na emery ameweka nguvu huku, tumepita kwenye timu ngumu toka 16 bora, wewe timu ngumu ni hao wajeruman ,,wamekusumbua kidogo utoke

Weakness yenu kubwa ni katikati,
 
Ombi langu moja tu! Nipigieni Chelsix
Ni aibu kwa kitimu cha juzi 2004 kama Chelsix kujiita King of London
Please muonesheni who the real king of London
King of London is back ..

Timu za London zinakuja kutawala tena soka la England na pengine Europe nzima.

Huwezi amini Spurs anabeba UEFA uku matajiri wa London kaka zao tukifanyua EUROPA.

Msimu huu Looserfool hubebi chochote...
 
Mkuu unatamba lkn subir tutakachowafanya fainal , nadhan unakumbuka darajan tulikukosa sana, emirate ukafa mapema,

Subir BAKU ,naiman vijana hawataniangusha na emery ameweka nguvu huku, tumepita kwenye timu ngumu toka 16 bora, wewe timu ngumu ni hao wajeruman ,,wamekusumbua kidogo utoke

Weakness yenu kubwa ni katikati,
Lile tambala lenu Leno lingeweza chomoa zile penalty kweli? Izo beki zenu za kuunga unga zitaweza mzuia Hazard, Higuan au Loftus? Ile gemu yenu ulinifunga kwa sababu hatukuwa vizuri tu lakini hii final tutafia uwanjani mzee Arsenal ukichezea goli chache sana zitakuwa ni tatu. Umemfunga mchovu Valencia unadhani na kwa Chelsea utapata mteremko tu hahaha naiona AssAnal kwenye Europa msimu ujao hahahaha.

Proudly to be Chelsea Fan....KTBFTFH
 
Wewe jamaa unaongeaga pumba

Ulidai Valencia atapindua matokeo

Ukadai Frankfurt mtampiga nyingi,

Huyo kepa kwa man city carabao alikuwa wapi kuchomoa penati?

Nitafukua makaburi yako, tarehe 29

Sisi hatuna maneno na emery
 
Dah yaan wewe unajiona una timu nzuri, tutaona hiyo fainal?
Sasa wewe unaifananisha Chelsea na hii arsenal yako yenye pazia golini na beki za kuunga unga hahahaha apo arsenal mchezaj pekee labda kwa mbali wa kumuangalia ni Auba tu ..ao wengine sioni kabisa wa kutusumbua..

Wenger ndo kocha pekee angeweza kutusumbua kwenye final games sio uyu mnyaturu Emery..
 
Wewe jamaa unaongeaga pumba

Ulidai Valencia atapindua matokeo

Ukadai Frankfurt mtampiga nyingi,

Huyo kepa kwa man city carabao alikuwa wapi kuchomoa penati?

Nitafukua makaburi yako, tarehe 29

Sisi hatuna maneno na emery
Ilo pazia lenu lingeweza chomoa penalty mbili? Kubalini tu mna pazia golini na ilo ndilo litàkalo wagharimu...

You should Keep The Blues Flag To Fly High...KTBFTFH
 
Sasa wewe unaifananisha Chelsea na hii arsenal yako yenye pazia golini na beki za kuunga unga hahahaha apo arsenal mchezaj pekee labda kwa mbali wa kumuangalia ni Auba tu ..ao wengine sioni kabisa wa kutusumbua..

Wenger ndo kocha pekee angeweza kutusumbua kwenye final games sio uyu mnyaturu Emery..
Huyo chelsea tumemgonga 2-0 kwenye ligi EPL, so hawezi furukuta kwa lolote kwanza katimu kadogo tuu kamemtoa maji hadi matuta; Chelsea labda zamani kwa sasa uchochoro tuu............
 
Huyo chelsea tumemgonga 2-0 kwenye ligi EPL, so hawezi furukuta kwa lolote kwanza katimu kadogo tuu kamemtoa maji hadi matuta; Chelsea labda zamani kwa sasa uchochoro tuu............
Muache aropoke ,mzoee alikuwa anatembea na matokeo mfukon hata kwa Frankfurt kidogo Jana aaibike,
 
Back
Top Bottom