Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
2-4 aubamayeng ana hattrick
Anagoli 9 sasa 1 nyuma ya Giroud.Auba kapiga 3....
Ni balaa mimi naona bora tukutane na Germany kuliko chelsea wanaotufahamu nnje ndani.Kule Chelsea amebaniwa hatari
Hii unaifananisha na ile mkuu? Au Furaha tuu kwakua tumeingia final?heheheheheheheh heeeeeeeeeeee hheeeeeeeeeeeee heeeeeeeeeeeeee heeeeeeeeeeeeee leo hii gunners imenikumbusha arsenal ileeeeeeeeeeeeeeeeee ya kina henry vavavum,wiltod,vieira,dennis,gilbeto, n.k yaani soka safi ushindi mzuri home and away sasa tuhamie kuwapa sapoti majirani maana hali si hali wajikazeeeeeee
Ni balaa mimi naona bora tukutane na Germany kuliko chelsea wanaotufahamu nnje ndani.
Naona hisia za furaha ndy zimekuongoza kuandika hivyo ilihali ukitulia peke ako,utagundua umekosea kuandikaheheheheheheheh heeeeeeeeeeee hheeeeeeeeeeeee heeeeeeeeeeeeee heeeeeeeeeeeeee leo hii gunners imenikumbusha arsenal ileeeeeeeeeeeeeeeeee ya kina henry vavavum,wiltod,vieira,dennis,gilbeto, n.k yaani soka safi ushindi mzuri home and away sasa tuhamie kuwapa sapoti majirani maana hali si hali wajikazeeeeeee
Matuta yameanzaNi balaa mimi naona bora tukutane na Germany kuliko chelsea wanaotufahamu nnje ndani.
Mechi ya Chelsea VS Frankfurt ilistahili iwe fainali. Very spirited, speed, agility, accuracy from both sides.Asee hawa wajerumani sio mchezo, kwa hii team yetu tia maji tia maji bora tukutane na the blues.