milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Na ndio waliotuangusha tumefunga goli 70 ila tumefungwa 50Hii backline ya arsenal ni urojo sna, inahitaji kufumuliwa abak sokratis tu wengne mizigo tuuu
Na ndio waliotuangusha tumefunga goli 70 ila tumefungwa 50Hii backline ya arsenal ni urojo sna, inahitaji kufumuliwa abak sokratis tu wengne mizigo tuuu
Acha uchawiTukitoka salama leo final tutapigwa tu.
Yan hapa lazma tupate la 3, ndo tupumue
Auba kafanya yake hapa tunapumua sasaTayari kaka umelionaaa?
Mkuu uchawi upi? Tatizo kocha game ijayo lazima atabadili fomation mana simuelewi kabisa.Acha uchawi
Kule Chelsea amebaniwa hatariMkuu uchawi upi? Tatizo kocha game ijayo lazima atabadili fomation mana simuelewi kabisa.
4 tayariTumekosa la nne