Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa madogo wangu wakiendelea hivi, mwaka huu sitasumbuliwa na vidonda vya tumbo!

ni vigumu sana kupata mteremko kama wa leo huko mbeleni,jamaa walituachia tucheze mpira wetu timu nyingine wanajua kwamba weakness yetu ni physical game.
 
..Inafurahisha, ukikuta kitimu dhaifu funga bao nyingi kadri inavyowezekana. Naona Carlos Vela anakuja vyema, 3 goals in 2 matches not bad!!
 
Hiki kipindi cha kwanza, tumepelekeshwa kweli...sijui kipindi cha pili kitakuwaje----tunazihitaji hizi 3 points maana ni muhimu sana.....Go Gunners....
 
wakuu wote tupo pamoja, naona tunaongeza majeruhi, Chammakh nafasi nzuri ya kuweka bao la 2 lakini wapi? naona mechi leo kwetu ni ngumu. jamaa wanacheza nguvukazi na SAong ndio nje,
 
wakuu wote tupo pamoja, naona tunaongeza majeruhi, Chammakh nafasi nzuri ya kuweka bao la 2 lakini wapi? naona mechi leo kwetu ni ngumu. jamaa wanacheza nguvukazi na SAong ndio nje,

ni noma tunavyopoteza nafasi za wazi wakati wanaona kabisa tumezidiwa.
 
Kwa kweli beki zetu za kati Schillaci na Kocelny wametulia sana tuone kama watamudu mikiki ya Cgyan
 
siku ya kufa nyani power ya nini? alikuwa a-press tu, bado tumbo joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…