Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,929
- 27,176
Hivi we hujionagi unavyo payuka.? Kila jukwaa lako. Yan ni kama mtoto wa Tandale mitaa yote unajulikana.Wewe jamaa Leo unakuja kupayuka humu, haya muda wako huu
Kwa Europa anatumia 3-4-3 huko hakuna tatizo, ila EPL, alipoacha tu na kuanza kujaribujaribu akapotea,,Kweli kabisa, kama ataendelea kutumia hii mifumo yake hata Europe hatubebi.
Kumbe na wewe unalijua hiloNgoja tuone hiyo alhamis
Maana mpira hauchezwi mdomoni
Hahaaa kwahiyo hutaki niongee, tatizo wewe unajihakikishia final wakat hao madogo hujamalizana naoHivi we hujionagi unavyo payuka.? Kila jukwaa lako. Yan ni kama mtoto wa Tandale mitaa yote unajulikana.
Leo unaniambia mi napayuka. Sema tu unaumia na zile prediction zenu mkituweka Chelsea nafasi ya tano halafu nyie mnajiweka nafasi ya tatu. Daah kweli maisha ni kama GWARIDE.
Hahaa.. Leo ndio umegundua mpira hauchezwi mdomoni.?Ngoja tuone hiyo alhamis
Maana mpira hauchezwi mdomoni
Arsenal Bado mna nafasi kubwa mno kucheza UC league. Mkifunga Barnley magoli 9. Then Tottenham afungwe na Evaton.yametukuta ya MANU
Wala hatuna muda na EPL tena, nguvu zote EUROPAArsenal Bado mna nafasi kubwa mno kucheza UC league. Mkifunga Barnley magoli 9. Then Tottenham afungwe na Evaton.
Mnatakuwa na point 70 na magoli 29. So mtakuwa nafasi ya 4 kwa gol different. Na mtakuwa mmefuzu kucheza UC league.
Muwe wavumilivu. Bado mna nafasi msikate tamaaa
Maana umeshajiaminisha umeenda final ,Hahaa.. Leo ndio umegundua mpira hauchezwi mdomoni.?
Sijajihakikishia ila nina ipa Chelsea 60% kwa mjeruman tunampiga.Hahaaa kwahiyo hutaki niongee, tatizo wewe unajihakikishia final wakat hao madogo hujamalizana nao
Option gani mkuu.Nyie tayari futuhi,
Sis bado tuna option
Kubeba EuropaOption gani mkuu.
Wanacheza ugenini na Burnley halafu wawafunge magoli 9 huku akitegemea Tot afungwe na asifunge goli.Arsenal Bado mna nafasi kubwa mno kucheza UC league. Mkifunga Barnley magoli 9. Then Tottenham afungwe na Evaton.
Mnatakuwa na point 70 na magoli 29. So mtakuwa nafasi ya 4 kwa gol different. Na mtakuwa mmefuzu kucheza UC league.
Muwe wavumilivu. Bado mna nafasi msikate tamaaa
Ila mkuu magoli Tisa kufunga Ni nyingi kwa mechi mojaWanacheza ugenini na Burnley halafu wawafunge magoli 9 huku akitegemea Tot afungwe na asifunge goli.
Hehee.. Kweli matumaini hata mimi nayaona.
Tena mnono kweli kweliEeh naona ushindi mmepata.