Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inahuzunisha sana yan, mchezaji wa kiwango cha Ramsey wa kujivunia makombe hayo kweli? Hajatwaa hata EPL moja, masikini ya mungu ona anavyo furahia. Huyu jamaa anastahili makombe makubwa makubwa kama EPL, UEFA au EL. Mnaonea sana wachezaji nyie.
 
Leo tunawaaga Ramsey na Cech, hivo ushindi lazima
Soka haliendi hivyo, ingekua hivyo basi yangetengenezwa mazingira kila game aagwe mtu ili 'ushindi uwe lazima' kama unavyojinasibu
 
Inahuzunisha sana yan, mchezaji wa kiwanho cha Ramsey wa kujivunia makombe hayo kweli? Hajatwaa hata EPL moja, masikini ya mungu ona anavyo furahia. Huyu jamaa anastahili makombe makubwa makubwa kama EPL, UEFA au EL. Mnaonea sana wachezaji nyie.
Wewe jamaa Leo unakuja kupayuka humu, haya muda wako huu
 
Mashabik WA manyua wamekuja kujipozea humu

Ila tambuen sisi bado tuna nafasi moja ,ambayo ni final ya europa
 
Mkuu sasa kocha haoni hili au nae ni tatizo? Kwa upande wangu simuelewi kocha kabisa.
Unajua emery kayataka mwenyewe,angalia game zote ,tulizozingua fatilia utakuta alichange formation

Kwa wachezaji aliowakuta , bado hawafiti kwenye 4-4-2,4-2-3-1,
 
Mkuu sasa kocha haoni hili au nae ni tatizo? Kwa upande wangu simuelewi kocha kabisa.
Angalia game tunazoshinda ni 3-4-1-2 au 3-4-3

Maana timu inakuwa imebalance kuanzia beki kiungo had forward,

Anapokuja kuchange na kutumia 4-4-2 au 4-2-3-1 timu inakosa balance kwakuwa hakuna winger halisi kwenye mbavu zote kulia na kushoto, namba 2 belle hayupo ,

Timu inapwaya
 
Unajua emery kayataka mwenyewe,angalia game zote ,tulizozingua fatilia utakuta alichange formation

Kwa wachezaji aliowakuta , bado hawafiti kwenye 4-4-2,4-2-3-1,
Kweli kabisa, kama ataendelea kutumia hii mifumo yake hata Europe hatubebi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…