MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Means beki bado mbovu.Unai Emery's first 50 games as head coach of Arsenal...
Won - 32
Drawn - 7
Lost - 11
Goals scored - 97
Goals conceded - 53
#ElMaestro https://t.co/Uiu2mEFJm6View attachment 1075357
Siko mbali sana na wewe ila Laca hana shida sana, kwangu mimi Aubemeyang anatakiwa kuongeza kiwango amekua lazy sana mipira kwake haikai kwenye matumizi ya nguvu ndo amefeli na laiti jana tusingekua na Laca kule mbele tungepata tabu sana.Mm kama Arsenal Tunaenda Spain kufanya Tour kidogo ya kwenda Arzebeijan
xhaka na guendouz na laca wapunguze ujinga,
sokratis katisha kamata sana watu koscienly hatar anakufa na Team ameumia lkn anakamua ozil kaupga si mbaya Mick akicheza 10 anaupga sana Alhamis tunaenda kumaliza game
jumuisha ulichokianfika sitini inakujaje ww wa kukopiLacazette & Aubameyang now have a combined 60 goals & assists this season.
Aubameyang 25 goals & 7 assists
Lacazette 18 goals & 10 assists.
#Arsenal
Mkuu upo biased sana kwenye uchambuzi wako, unakuwa kama Michael Owen akichambua soka la arsenal bwanaWapi nimekejeri,?
Nimeangalia mipira yote WA arsenal na wachelsea banda umiza,
Hao Valencia walain kama ulivyo mpira WA Spain, ndio maana alipoingia lt11, wakawa lain zaid maana tunawapress,
Frankfurt ni wanacheza mpira mgumu,nimewafananisha na Napoli, bila kukaza Leo mngetoboka, shukran kwa Loftus cheek,
Kwa analysis ya nilivyoangalia ,basi nahitimisha Valencia hana uwezo wa kushinda 2-0 ,na arsenal asipate goli,
Unakumbuka hata kwa Napoli nilimwambia ukabisha ukatangaza hadi Dau,
Kwanini ndugu, mm nimeangalia mipira yote, labda nikosoe wapi nipo biasedMkuu upo biased sana kwenye uchambuzi wako, unakuwa kama Michael Owen akichambua soka la arsenal bwana
Pamoja sana mkuuHongereni kazeni buti mnyanyue kwapa bado mechi mbili tu
Au lugha kwako ni mtihan,? Hebu rudia kusoma tenajumuisha ulichokianfika sitini inakujaje ww wa kukopi
Si unajua Owen hana jema kwa arsenal, hata wacheze vizuri kiasi gani. Na wewe hata kama tumevurunda, lazima uisifie timu...Kwanini ndugu, mm nimeangalia mipira yote, labda nikosoe wapi nipo biased
Usiseme lazima , labda kama Jana ulilala ,matokeo umeyasikia kupitia livescorena lazima iwe Chelsea tu
Tumetofautiana sana, Mimi bora nicheze na Chelsea ,kwanza rahis kuwa attack na ukapata magoli, Chelsea hii ya sarri haitishi kabisa,Pamoja na yote aliyosema bado sioni kucheza fainali na chelsea ni afadhali.
Bado chelsea inabaki kua timu kubwa na yenye wachezaji wenye uzoefu wa kucheza mashindano makubwa kwa mda mrefu.
Mimi nikiwa mshabiki wa arsenal nivyema kucheza na hao kutoka ujerumani
Micky kwangu Mimi namkubali tatizo hana consistency ,Siko mbali sana na wewe ila Laca hana shida sana, kwangu mimi Aubemeyang anatakiwa kuongeza kiwango amekua lazy sana mipira kwake haikai kwenye matumizi ya nguvu ndo amefeli na laiti jana tusingekua na Laca kule mbele tungepata tabu sana.
Shida nyingine ni Granit pamoja na kucheza vizuri kiasi flani lakini hua ni lazy sana na kwa ulazy lazy wake amekua akipoteza mipira yenye kuhatarisha na kucheza rafu za hovyo maeneo hatarishi.
Mwingine ni yule mtoto Maitland Niles ni kweli amekua akutusaidia sana ukizingatia ile sio nafasi yake kiasili, ila ni moja ya wachezaji pasua kichwa sana kuna vitu anafanyaga uwanjani mpaka hua nashangaa nikweli amefanya vile.
Aisee yani ukianza kutaja majina kwa timu yetu unabaki na wachache sana micky ndio sitakagi kumuona kabisa.
Nimeongea nilichokiona ,kama uliangalia tactic za Jana alipokuwepo Matteo ,walikuwa angalau wanafanya mashambuliz, coz Matteo hafanyi defensive kama lt11,Mkuu upo biased sana kwenye uchambuzi wako, unakuwa kama Michael Owen akichambua soka la arsenal bwana
Hapana mm sifiagi tunapokosea,Si unajua Owen hana jema kwa arsenal, hata wacheze vizuri kiasi gani. Na wewe hata kama tumevurunda, lazima uisifie timu...
Unataka kusema Jana tumecheza vibaya?Si unajua Owen hana jema kwa arsenal, hata wacheze vizuri kiasi gani. Na wewe hata kama tumevurunda, lazima uisifie timu...
I dont fancy playing against Chelsea, kwa sababu hawa jamaa wanatujua in and out. Pamoja na kwamba kiwango chao kwa sasa kipo chini bado naamini better the devil you dont know than the devil you know. Angalia vitimu vidogo vya england vinavyotusumbua, ni kwa sababu wameishatusoma kikwelikweli.Tumetofautiana sana, Mimi bora nicheze na Chelsea ,kwanza rahis kuwa attack na ukapata magoli, Chelsea hii ya sarri haitishi kabisa,
OK, ila Mimi sijui kwann nawahitaji sana Chelsea,I dont fancy playing against Chelsea, kwa sababu hawa jamaa wanatujua in and out. Pamoja na kwamba kiwango chao kwa sasa kipo chini bado naamini better the devil you dont know than the devil you know. Angalia vitimu vidogo vya england vinavyotusumbua, ni kwa sababu wameishatusoma kikwelikweli.
Heheee.. Usiombe kukutana na Chelsea hii mbovu. Kwa baki yako ile, kwa pazia lako lile.? Mbona itakua mteremko sana.Arsenal tumeshatinga Fainal Europa league Valencia hawawezi kututoa
Kwa matokeo haya tuna nafas kubwa ya kucheza na Chelsea
Na bora tucheze na Chelsea kuliko wale wajerumani ,
Hata yeye alitaka sema hiki ulichokisema hapa.Pamoja na yote aliyosema bado sioni kucheza fainali na chelsea ni afadhali.
Bado chelsea inabaki kua timu kubwa na yenye wachezaji wenye uzoefu wa kucheza mashindano makubwa kwa mda mrefu.
Mimi nikiwa mshabiki wa arsenal nivyema kucheza na hao kutoka ujerumani