AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
http://www.serbamanfaat.xyz/2019/01/match-football-1.html?m=1 dstv hawaonyeshi mpaka uwe na star timesWakuu mnaona hii game channel gani
Ahsante kiongozhttp://www.serbamanfaat.xyz/2019/01/match-football-1.html?m=1 dstv hawaonyeshi mpaka uwe na star times
Ila auba naye anazingua sanaHawa Valencia walain sana,Tatizo Matteo hapress katikati kupeleka mipira,
Na wish aingie lt11, tutawalamba nyingi
Kazingua hii chance ya mwisho,Ila auba naye anazingua sana
Kazingua hii chance ya mwisho,
Hapo kati nataka aingie lt11,
Angekuwepo Ramsey, wangeoga nyingi, hawawez mpira mgumu kabisa
All in All,vijana wawe makin tuongeze magoli
Ni heri kukutana na Chelsea final, sio Frankfurt ,nawaangalia hapa wanapiga mpira mgumu na wakasi sana