Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal XI: Cech; Sokratis, Koscielny, Mustafi; Maitland-Niles, Guendouzi, Xhaka, Kolasinac; Özil; Aubameyang, Lacazette

Valencia XI: Neto; Diakhaby, Garay, Paulista, Roncaglia; Piccini, Carlos Soler, Parejo, Gayà; Rodrigo, Guedes.

#UEL #ARSVAL https://t.co/gtdvr0cXuS
 
Huwa nawashangaa watu wanaomponda Unai wakati Klopp msimu wake wa kwanza Liverpool ilimaliza nafasi ya 8 na huu ni msimu wake wa nne hata kikombe cha chai hana.
Tumpe muda Unai, mabadiliko ya timu huchukua muda.
 
Ni kweli ngoja aondoe mizigo, alete watu wake ,then tutamuhukumu,

Maana kwa tactic sina shida Naye, tatizo hana watu wanaofit matakwa yake,,

Mustafi,elneny, iwobi, Micky, hawa watu baada ya madirisha mawili, hawatakuwepo,zitakuja sura mpya
 
Czech ndio mechi zake za mwisho, how far he gonna appear in arsenal shirt depends on arsenal performance in Europa league
 
Hii mechi arsenal akishinda ni bahati aisee Mustafi then peter chek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…