Arsenal (The Gunners) | Special Thread

MAREHEMU ALIKUWA NA MDOMO SANA.
.. japokuwa mechi tatu mfululizo kafungwa goli 9.
Una mdomo unakuja kujifariji huku,

Wakati timu lako mech 9 lina goli 1, mawili ya penati

Una timu bovu kupita maelezo,
 
Mkuu achaneni na watoto wa shilingi mia mia..wekeni mipango ya kununua kina Mbape. Utoto mwingi sana hapo Emirates.
Kwann msinunue nyie kina mbappe, maana timu lako kila msimu linashuka,

Mbona umenunua forward ya £75m inarukaruka tu,

Arsenal haisajiri kwa sifa, ila inasajiri kwa kuangalia matakwa ya mwalimu. ,na unai kashamuhitaji huyo pacha wa lt11,
 
󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 @AaronRamsey has been ruled out for the rest of the season, meaning he won't play for Arsenal again.
369 Games
️ 64 Goals
65 Assists
3 Trophies
Signed from Cardiff City for £5m.
Arsenal Player of the Season in 2013/14 & 2017/18.
A fantastic servant.
 
Kwaheri Aaron Ramsey. Nitakukumbuka kujitoa kwako kwa ajir ya klabu, nitakukumbuka kwa magoli mazuri ,

I will mic u Aaron Ramsey,
 
Hawa wachezaji wenu wa paund milion 20 ndo wanaicost hii timu yetu. Wenger ndo alijua kudeal nao sio huyu Unai anaruka ruka tu mpaka sasa hana first XI ..
 
Hawa wachezaji wenu wa paund milion 20 ndo wanaicost hii timu yetu. Wenger ndo alijua kudeal nao sio huyu Unai anaruka ruka tu mpaka sasa hana first XI ..
Mkuu emery ndio msimu wake wa kwanza, hebu muache kama madirisha matatu ajenge timu ,tutamjaji,

Klopp msimu wa kwanza hata top 4 alikuwa hagombei. ,mm kwangu unai ka jitahid sana, ila amekosa wachezaji wakumsaidia, ndio maana anahitaji madirisha karibu matatu, atengeneze jeshi lake litakalomtii
 
Former Arsenal midfielder Francis Coquelin is suspended for tonight's Europa League Semi Final.

But another ex-Gunner, Gabriel Paulista is expected to start for Valencia. https://t.co/M1mKasbIR1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…