Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Relax kijana hasira za nn
Kipigo kimekupa kiwewe
 
kwani mkuu hizi mechi mlizopoteza points 9 na Auba kukosa penati stori ni ipi hapo?? me sioni tatizo kupoteza 3 na kupata 9 kwa hesabu rahisi 9-3 = 6 sasa ukichukua hizi 6 ukiongezea na points zenu za sasa si mngekuwa kwenye mbio za ubingwa na nyie

by the way huu mchezo hauhitaji hasira
 
Mimi kwa upande wangu huyu jamaa akitenga tuta hata ubishe vipi tuta hana penalty nyepesi ukifanya kosa la kukuhukumu kadi nyekundu atakupa tu,tatizo watu wanataka refa anaye balance
 
Top four kwa sasa ni miujiza tu, haiwezekani tunakuwa na poor records away, yaani tunapigwa tu ugenini...
 
Top four kwa sasa ni miujiza tu, haiwezekani tunakuwa na poor records away, yaani tunapigwa tu ugenini...
Dah! mkuu away sijui kuna nini, Unai anadhani mechi zote atachezea home tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…