Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Daaaah!!hii arsenal hii mamaee
COYG πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿
 
Hatuna kocha pale toka tumeanza game ya leo tulikuwa tumezidiwa sana. Kocha huyu hana tofauti na Wenger.
 
Nilisema jana mwenye shida na mkuu AROON amtafute jana leo hataonekana humu
 
Hii team jamani. Nilishajisajili kwa mkopo Man City mpaka pale wale watoto watakapoondoka.
 
Arsenal ingejua kama Tanzania kuna mtu wanamuua kwa presha wangekaza kidogo.

Hawana habari kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…