Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu mi hua nikimuona tu huyu jamaa kwenye mechi yetu hua naanza kuandika maumivu mapema.

japokua maitland niles amefanya immature defending lakini Oliver amekua too harsh kwenye maamuzi dhidi yetu.
Mnamuonea tu,maamuzi hayohayo amekuwa akifanya dhidi ya united.
 
Mkuu mi hua nikimuona tu huyu jamaa kwenye mechi yetu hua naanza kuandika maumivu mapema.

japokua maitland niles amefanya immature defending lakini Oliver amekua too harsh kwenye maamuzi dhidi yetu.
Moja ya marefa bora kabisa hapindi wala kutoa favour umeme umeme tu,yellow yellow tu, tuta ataweka hata sekunde ya mwisho, very straight person
 
Ubora wa Oliver hauna mashaka ni yeye na Dean wameondolewa kuchezesha robo final -final za uefa kwasababu England hawatumii video referees
 
Mungu wa ajabu sana, yan unachoombea kimpate mwenzako kinakuanzia wewe kwanza. Hahahaaa
 
Wazee si mlisema fixtures nyepesi kwenu hamtafungwa mechi zote zilizobaki, naona mnapumulia mirija sasahivi. Asenal ni kikundi cha wanyang'anyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…