Mkuu ngoja rusubir muda maana game 3 ndzo zitaamua nani awe top 4Tatizo nyie AssAnal huwa mnanunuaga vichezaji vya paund mil 5 uko ..havina impact yeyote kweny ligi ngumu kama EPL ...mnawaleta wanacheza gemu mbili/tatu wanapoteaa ..mnamlalamikia kocha, juzi lawama kapewa Mustafi, kumbe timu nzima mbovu ...
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mkuu hapa ndio unawakimbiza uzi sasa
mimi timu yangu newcastle united..sina presha hta tukifungwa.Unapumulia mpira na Arse8 Chifu[emoji848][emoji4]
Hahahaha AROON popote ulipo chonde chonde tunaomba uje bado tunakuitaji sana..
Hahaa ila wewe na huyo aroon mnaongoza kwa kujipiga burn hahaaHahahaha AROON popote ulipo chonde chonde tunaomba uje bado tunakuitaji sana..
[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaa ila wewe na huyo aroon mnaongoza kwa kujipiga burn hahaa
matokeo tu hayoKikosi tayari. Je Wolves watakufa?
hata mimi mkuu....tupo pamojaWengi wanatumia utashi wa kawaida ila binafsi nina imani kubwa na Unai Emery
Nakuhaidi yajayo yanafurahisha haswaahata mimi mkuu....tupo pamoja
sure.......tumwache kocha afanye kazi yake.....Nakuhaidi yajayo yanafurahisha haswaa
Unai Emery ameikuta Arsenal imeoza, kwa signings chache alizofanya na matokeo anayopata inaleta matumaini.Wengi wanatumia utashi wa kawaida ila binafsi nina imani kubwa na Unai Emery
Mkuu hakuna kocha pale. Muda utasema labda abadilike.Nakuhaidi yajayo yanafurahisha haswaa