Binafsi huyo mtu hua simuelewi kabisa yani hayuko sawa kabisa hua nikimuona kwenye gemu nakata tamaa mapema sana, halafu leo hatuna benchi kabisa pale nje

Narudi kuwacheki Manchester City wachukue ubingwa Arsenal yetu hii ndo basi tena kama leo hatutashinda jumapili tutapigwa tena na Leicester na ndo itakuwa bye bye