Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unachotakiwa kujua ni kwamba gemu zote zilizobaki nashinda ..manure ninampiga pale pale kwake ..kama ndo gemu unayotegemea sahau kabisa ..sisi tuna imani na Wolves, hawatotuangusha..
 
Naona pipa na mfuniko mko kwenye mabishano makali sana.
EPL, bora abebe city maana wapo kama watatu tu humu jf, kama na nyie wazee wa ukameni mmeanza kelele, ndio maana man u kasema bora akacheze Europa kuliko kukusaidia ubingwa wewe, nimewaelewa sasa
 
Ozil umemsahau?
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba gemu zote zilizobaki nashinda ..manure ninampiga pale pale kwake ..kama ndo gemu unayotegemea sahau kabisa ..sisi tuna imani na Wolves, hawatotuangusha..
Kila siku unasema hivo hivo,mnapigwa, umesahau ya liver ,bona,wolves, ulisema hivo hivo ,cheltako akafa
 
wana maana sana ..leo tunashinda na gemu zote zilizobaki hatuna wa kutuzuia tena ...
Cheltako hana uwezo wa kushinda game mbili mfululizo, ukishinda Leo inayokuja kipigo,

Msimamo utaisha hivi

Man city

Liver

Arsenal

Tot

Cheltako

Manyumbu
 
Kila siku unasema hivo hivo,mnapigwa, umesahau ya liver ,bona,wolves, ulisema hivo hivo ,cheltako akafa
Kwa sasa tumeona makosa mnayofanya ..sisi tunayafanyia kazi ..shuhudia leo mtu anakunywa sio chini ya goli tano
 
Hamna timu yenye kikosi chembamba kama Liva.

Sasa unamuomba Man U amstopishe Citi ili wewe uchukue kombe, upo serious?

Mkisurvive msimu huu msimu ujao mtaanza kichovu na kinyonge mno.

Msimu ni almost umeisha, tumeshakubali kuwa namba mbili isipokuwa miujiza ya mpira itokee.

Swala la kuanza kinyonge sina uhakika nalo, maana kikosi hiki hakitabadilika msimu ujao.
 
Cheltako hana uwezo wa kushinda game mbili mfululizo, ukishinda Leo inayokuja kipigo,

Msimamo utaisha hivi

Man city

Liver

Arsenal

Tot

Cheltako

Manyumbu
Huo ni msimamo wako wewe ..sisi tunaojua hatutaki porojo nyingi ..nafasi yenu ya tano kila msimu huwa inajulikana..
 
EPL, bora abebe city maana wapo kama watatu tu humu jf, kama na nyie wazee wa ukameni mmeanza kelele, ndio maana man u kasema bora akacheze Europa kuliko kukusaidia ubingwa wewe, nimewaelewa sasa

Hivi kwa hii Man Utd hata angesema atanisaidia ungekubali?
 
Unai msenge msenge wacheza kishoga shoga. Tangu lini back 3 ikalipa? Timu inatakiwa kuwa na nidhamu ya kuhami full backs.....Mamaaamaaeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…