OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Una uhakika upi wakati unashushwa rasmi nafasi yako pendwa ya tano..Wewe una kipa pazia la 70 ,upo nafasi ya kwanza? Mimi mwenye WA paun 10 nipo top 4 na Nina uhakika WA top 4 na europa
Wolves wataishia kuwapiga mbuzi mbuzi tu kama Chelsea na Man UHata Everton alinipiga mbili ..nyie timu bado, Wolves wanakuja mmejipangaje..
Umesahau ulikaa hapo kwa muda ,tukakuondoa? Unapocheza na man u ,mtagawana nafas zenu ya 5 na 6Una uhakika upi wakati unashushwa rasmi nafasi yako pendwa ya tano..
Mim nakamata ya tatu pale ndo sitoki tena, wewe jipange na Europa msimu ujao..
Hasira zote kwa wolves , sidhani kama wale kina neny watarud pale kati, wolves anaenda kufa vzr kabisaWolves wataishia kuwapiga mbuzi mbuzi tu kama Chelsea na Man U
At least tuna world classic players Higuan, Hazard, Kante, Geroud, ..wachezaji ambao wanapata Namba kweny fest XI yeyote ulaya ..apo arsenal mchezaj pekee anayepata namba Chelsea ni Ramsey na/au Auba..Sasa wewe keleng'ende mmenunua waimba taarab wa pauni 45m na kuendelea hadi muda huu mko wapi?
Chelsea ukae nafas ya 3 ,kwa timu IPI, ushukuru Jana emery kupanga ovyo kikosi, kwanza Burney mwenyewe ukazeUna uhakika upi wakati unashushwa rasmi nafasi yako pendwa ya tano..
Mim nakamata ya tatu pale ndo sitoki tena, wewe jipange na Europa msimu ujao..
Hao world class wameisaidia cheltako kuwa nafasi ya ngapi hadi sasaAt least tuna world classic players Higuan, Hazard, Kante, Geroud, ..wachezaji ambao wanapata Namba kweny fest XI yeyote ulaya ..apo arsenal mchezaj pekee anayepata namba Chelsea ni Ramsey na/au Auba..
Hahahaha sasa kwa Crystal Palace watoto walaini tu wa malkia ..tena kwako wa kufanya mbaya ..ao mbweha weny njaa kali ci utakufa nyingi?? ..Wolves wataishia kuwapiga mbuzi mbuzi tu kama Chelsea na Man U
Yah unai alisema hivo ,Europa uhakika, sasa sisi tunataka na ligi, yeye kwa uzoefu wake alisema Europa uhakika,maana akiangalia eti mpinzani cheltakoHalafu tukumbuke kitu.
Unai alisema Europa uhakika ila ligi bado kwanza.
Wewe Cheltako huko Europa utakoma na top 4 hugusi. Kumbavu
Hujamalizana na manyumbu unaropoka, unadhan atakuacha salama OT, hahaaaaa hiyo siku utajipiga ban ya mwezi maana utapelekwa nafas ya 6Hahahaha sasa kwa Crystal Palace watoto walaini tu wa malkia ..tena kwako wa kufanya mbaya ..ao mbweha weny njaa kali ci utakufa nyingi?? ..
Ile fixture yenu nyepesi imekuja kuwa nguma balaa...
Kwa iyo unai anauza point tatu ili abebe Europa hahaha ..ni sawa na wewe kutumia ela ya ada kubetia..Halafu tukumbuke kitu.
Unai alisema Europa uhakika ila ligi bado kwanza.
Wewe Cheltako huko Europa utakoma na top 4 hugusi. Kumbavu
Kuna utaofauti ,wenzetu wamekula 4-0 na hawana uhakika wa top 4Asenal na man u kilio tu
Unatamani wawe world class players eeh? Hizo ni chapati tu na mkipigwa kaunta hua nacheka Luiz anavohangaikaAt least tuna world classic players Higuan, Hazard, Kante, Geroud, ..wachezaji ambao wanapata Namba kweny fest XI yeyote ulaya ..apo arsenal mchezaj pekee anayepata namba Chelsea ni Ramsey na/au Auba..
Ila zari ball ligi kaiweza, au sio ndio maana anahaha kumaliza top 4, subiri may uone mnamaliza nafas ya 5 , si tupo hapaKwa iyo unai anauza point tatu ili abebe Europa hahaha ..ni sawa na wewe kutumia ela ya ada kubetia..
Uyo mrangi Unai ligi imemshindaaaaa
Wameisadia leo maan tunaichukua iyo nafasi ..mim naku wait final Europa nikukunywe nyingi sana ..Hao world class wameisaidia cheltako kuwa nafasi ya ngapi hadi sasa
Sisi si tunawatamanisha mtumie nguvu kupafom katika ligi ili kule Europa muende mmelegea!!Hahahaha sasa kwa Crystal Palace watoto walaini tu wa malkia ..tena kwako wa kufanya mbaya ..ao mbweha weny njaa kali ci utakufa nyingi?? ..
Ile fixture yenu nyepesi imekuja kuwa nguma balaa...
Umeichukua kivip wakati upo nafas ya 5, hahaaaWameisadia leo maan tunaichukua iyo nafasi ..mim naku wait final Europa nikukunywe nyingi sana ..