Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani wageni wanataka kuondoka kwenda kuvunja matanga kule jukwaa la manure ..mpka sasa hamjatoa ratiba ya mazishi ni lini hichi kimarehemu kinazikwa. Au mnasubiri Wolves waje kibabe kuvunja matanga.? hahahhahahahHaha
 
Yeye anajiona ana kikosi kizuuuurii ..kumbe ana group tu la wachezaji ..tena vile vya paundi kumi kumi...

Yuko wap Dennis Suarez...hahahahaha
 
Msijali wakuu,kazenii mechi zilizobaki mbaki hapo kwenye top4....Hawa Man4 asahiv hawana cha kupoteza Maana ticket ya top4 washaipoteza na kuna uwezekano hata Europe wakaipoteza wakifanya mas-hara
Labda wakaze makalio ..wakilegeza ndo ivo ..wauni wanapita tuu ...bahahaahaha

Mbwa mwitu hulaga hadi mifupa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…