Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sure
 
Endelea kupiga ramli...
Sisi huwa hatupigi ramli ..huwa tunaongea kitu kinachoonekana ..ile fixture yenu ilionekana kuwa nyepesi sana kiasi kwamba mulijipa uhakika wa kukamata nafasi ya tatu ..sasa naona mambo hayaendi kama yalivyopangwa .

tuimbe Niue mama Niue x2 ..Niue mama Niuex2
 
Uzuri namba 5 na 6 ni za Chelsea na man u

Upangaji mbovu wa kikosi WA Leo sidhan kama utajirudia tena kwa mech zilizobak
 
ulifaa kujibu baada ya mechi ya napoli unajibu leo....unadhihirisha ukiazi....
 
Tatizo Unai mbishi amerudia kosa tena Mkuu.
kule france alikuwa akiweka nje key players anashinda 3,4 ila huku anatakiwa ajue mambo ni tofauti...mechi yeyote panga squad matata ubebe alama tatu unajuaje hiyo next match ngumu kama utapata matokeo ugenini? ukisuluhu je? hope atakuwa kapata somo....
 
Msijali wakuu,kazenii mechi zilizobaki mbaki hapo kwenye top4....Hawa Man4 asahiv hawana cha kupoteza Maana ticket ya top4 washaipoteza na kuna uwezekano hata Europe wakaipoteza wakifanya mas-hara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…