Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,364
- 1,475
Mkuu inawezekana Unai naye ana bet -Sportpesa ndio mana amesababisha tufungwe.*Nimetambua kwanini Timu ikishinda sifa zinaenda kwa wachezaji na ikiharibu mzigo anaubeba kocha.*
Nilikuwa najiuliza' hivi huwa inakuwaje mtu anajiuwa!!? Leo nimeona Unai anajiuwa wazi mara baada ya kuona kikosi.
Nilidhani ni majaribio tu wala sio kikosi rasmi.
Duh' yaani kuwazodoa kote watu wa Man u' kumbe Unai anatuchora tu.
Chembers na Holding ni mabeki bora sana,nami nilishangazwa sana chembers kutolewa kwa mkopoChambers anatolewa mkopo wanamwacha mtu ambaye hana msaada ndani ya muda wake wote pale Arsenal, hajiamini akikutana na watu wenye manjonjo km Zaha basi ye anachanganyikiwa utadhani dem kaona sharobaro
Mkuu nilikuonya kule kwenye uzi wetu..nilikuambia "leo uko na Zaha&Co." Ukasema nyie mnapiga tuu.Kweli nimeamini
Halafu unai kashaambiwa na malegend kuhusu huo upuuz anaouweka kati haelewi
Mara ya pili hii wanatukost
Jumlisha na msenge mustafi
Ila mechi ya leo ni upuuzi wa wachezaji,. Mustafi anahusika goli la pili openly (no discussion) its sad kwa kweli.Individually unaona timu haina passion inakosa desire goal", Wamecheza very ralexed even when they were 3-1.They were not pressing opponent high & hard.Unajua bora mfungwe kwa ubovu wa kikosi
Sio kwa sababu za kipuuzi
Wachezaji Wanapambana , Baadhi wanaharibu mechi ,
Inaumiza sana
Wee leo si umekalia nne kavu?
Yaan mustafi ameniboa ,Liverpool fan.Ila mechi ya leo ni upuuzi wa wachezaji,. Mustafi anahusika goli la pili openly (no discussion) its sad kwa kweli.Individually unaona timu haina passion inakosa desire goal", Wamecheza very ralexed even when they were 3-1.They were not pressing opponent high & hard.
Palace hawajacheza mpira mkubwa kama wa kawaida yao vs big teams,. ila lack of composure, commitment imecost team.Other wise ni kupambana na wakati kuwin top four battle.COYG.
Alafu ukute wewe ni Manu!Teh teh teh teh Arsenane mmekubali kuinamishwa!
Unai Leo kazinguaNasubiri kuwasikia kina TROOPS na DT wanasemaje ktk AFTV.
ajifunze hii ni epl.....palace aliyemtoa ulimi spurs unampangia kina mustafi,elneny kweli!!!!!!*Nimetambua kwanini Timu ikishinda sifa zinaenda kwa wachezaji na ikiharibu mzigo anaubeba kocha.*
Nilikuwa najiuliza' hivi huwa inakuwaje mtu anajiuwa!!? Leo nimeona Unai anajiuwa wazi mara baada ya kuona kikosi.
Nilidhani ni majaribio tu wala sio kikosi rasmi.
Duh' yaani kuwazodoa kote watu wa Man u' kumbe Unai anatuchora tu.
Heshima gan wakat kocha kazingua na kuna michezaj imeuza mech
Matatizo yenu hayafanan na yetuWakati Everton wanatupa kibano hukujua Ole na wachezaji wake wanazingua?
Kwa kweli leo kazingua sana.Unai Leo kazingua
Kikosi chetu tunakijua ukipanga hachomokagi MTU
Anatupangia jenko mwingereza fala,na muarabu kati
Yaani Unai Leo kaonesha udhaifu mkubwa sana
Halafu kuna li mustafi limeuza mechi ,watu wanapambana lenyewe linauza mechi
Leo katuvua nguoKwa kweli leo kazingua sana.